Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI MPINA ASHIRIKI ZOEZI LA UHAKIKI WA DAFTARI LA MPIGA KURA JIMBO LA KISESA ,SIMIYU


Katibu wa Chama  cha Mapinduzi (CCM) Kata ya Lubiga Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu, Buyamba Duba akiangalia kwa makini namna Mbunge wa Jimbo la Kisesa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akihakiki taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga
Kura katika Ofisi ya Kata ya Lubiga.

Mbunge wa Jimbo la Kisesa na Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akihakiki taarifa zake kwenye Daftari la Kudumu la Mpiga
Kura katika Kata ya Lubiga Wilaya ya Meatu Mkoa wa Simiyu. Kulia ni...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

UHAKIKI WA TAARIFA KATIKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) inawatangazia wananchi wote waliojiandikisha katika daftari la kudumu la wapiga kura kwa mfumo wa BVR kujitokeza katika vituo walipojiandikisha ili wahakiki taarifa zao. Kwa mikoa…

 

5 years ago

Michuzi

UHAKIKI TAARIFA DAFTARI LA AWALI LA WAPIGA KURA WAANZA JIJINI DODOMA

 KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akikabidhiwa kadi yake ya kupigia kura baada ya kuifanyia  uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la awalai la wapigakura na kurekebisha taarifa zake katika  Kituo cha uhakiki kilichopo Kata ya Viwandani jijini Dodoma jana. Anaemkabidhi kadi hiyo ni Mwandishi Msaidizi Queen Pius. (Picha na NEC). KIKONGWE wa miaka 100, Yusufu Alfonso Mkomwa akiweka saini katika kadi yake ya kupigia kura baada ya kufanya uhakiki wa taarifa zake kwenye daftari la...

 

5 years ago

CCM Blog

MWENYEKITI WA NEC, ATANGAZA KUANZA UHAKIKI DAFTARI LA WAPIGA KURA AWAMU YA PILI


HOTUBA YA MWENYEKITI WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI

MHE.  JAJI WA RUFAA (MST.) SEMISTOCLES KAIJAGE (PICHANI)  KWENYE MKUTANO WA TUME NA  VYAMA VYA SIASA KATIKA

UKUMBI WA MIKUTANO WA MWL. NYERERE, 

TAREHE 8 APRILI, 2020


•             Mheshimiwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi,

•             Waheshimiwa Wajumbe wa Tume,

•             Mkurugenzi wa Uchaguzi,

•             Msajili wa Vyama vya Siasa,

•             Viongozi wa Vyama vya Siasa,

•             Mwakilishi wa Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Dewji Blog

CHADEMA yawataka Wananchi kwenda kujiandikisha katika daftari la mpiga kura

IMG_7601

Mwenyekiti wa Chadema, Mh. Freeman Mbowe akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa  chama hicho wa kanda ya kaskazini unaofanyika leo katika  hotel ya New Arusha jijini humo.

IMG_7568

Viongozi wa Chadema akiwemo Mwenyekiti wakifanya sala kabla ya kuanza  mkutano wa viongozi wa kanda ya kaskazini.

Picture 003

Naibu Katibu mkuu wa Chadema, Salum Mwalimu akiwa anaongea na waandishi wa habari.

 MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasi na Maendeleo-Chadema, Freeman Mbowe amesema kuwa  chama chao kimejipanga...

 

5 years ago

CCM Blog

UBORESHAJI DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA MAJIMBO YA KIBAMBA NA UBUNGO UMESHAANZA, MWISHO 20/02/2020


UBUNGO, Dar es Salaam
Halmashauri ya Manipaa ya Ubungo Dar es Salaam, imetangaza kuwa Wananchi wa majimbo ya Kibamba na Ubungo katika Manispaa hiyo, kuwa zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpigakura limeanza tangu  tarehe 14/02/2020 na litafanyika kwa muda wa siku saba kuanzia tarehe hiyo hadi tarehe 20/02/2020 litakapomalizika.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Afisa Uandikishaji katika Majibo hayo na kusambazwa na Mkurugenzi wa halmashauri ya Manispaa hiyo ya Ubungo  Beatrice...

 

10 years ago

Michuzi

UANDIKISHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA KUANZA RASMI KESHO JUMAPILI MKOANI RUKWA

 Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Eng. Stella Manyanya akizungumza na waandishi wa habari leo tarehe 23 Mei 2015  kuelezea juu zoezi la uandikishiaji wa Wananchi kwenye daftari la kudumu la Mpigakura litakaloanza rasmi kesho tarehe 24 Mei 2015 Mkoani Rukwa. Kulia kwake ni Katibu Tawala Mkoa wa Rukwa Ndugu Smythies Pangisa.Mkutano na waandishi wa habari ukiwa unaendelea. Kwa taarifa kamili. 
(Na Hamza Temba - Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Rukwa@Rukwareview.blogspot.com)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani