Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA UJUMBE WA UN

 Mwakilishi Mkaazi Wa Shirika La Afya Duniani (Who) Zanzibar Dkt. Andemichael Ghirmay akiukaribisha ujumbewa wa UN kwa Waziri wa Afya Zanzibar walipofika Ofisini kwake pamoja na kutoa maelezo kuhusu juhudi zinazochukuliwa na Serikali katika kuimarisha huduma za Afya Zanzibar. Mkuu Wa Sekreteriate ya Mtandao wa kutoa huduma bora za Afya kutoka Makao Makuu ya WHO Geneva Blerta Maligi wa (katikati) akielezea kuridhishwa na huduma za Afya zinazotolewa Zanzibar alipofanya mazungumzo na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WAZIRI WA AFYA AKUTANA NA WATAALAM WA AFYA KUJADILI HALI YA MWENENDO WA UGONJWA WA CORONA

 Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE WA BENKI YA DUNIA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati,baada ya mazungumzo kati yake na ujumbe wa Benki hiyo mjini Dodoma Septemba 11, 2014. Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mwendeshaji Mkuu wa Benki ya Dunia (Managing Director and Chief Operating Officer), Sri Mulyani Indrawati (kulia) baada ya mazungumzo rasmi kati yake na ujumbe...

 

9 years ago

Vijimambo

WAZIRI MAHENGE AKUTANA NA UJUMBE WA MABALOZI OFISINI KWAKE

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiukaribisha ujumbe wa Mabalozi waliotembelea Ofisini kwake wakiongozwa na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt Ujumbe huo ulifika kwa ajili ya kuzungumzia maswala ya mabadiliko ya Tabia Nchi kwa Nchi za zinazoendelea.Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais- Mazingira Mheshimiwa Binilith Mahenge akiongea jambo na Balozi wa Sweden Bi. Katarina Rangnitt aliyeongoza Ujumbe wa Mabalozi waliofika Ofisini kwake leo.

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MKUU AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA TUME YA HAKI ZA BINADAMU

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na ujumbe kutoka Tume ya haki za Binadamu, ofisini kwake jijini Dar es salaam Mei 8, 2015. Kulia kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Bahame Tom Nyanduga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA BENKI YA DUNIA (WB) MAPEMA LEO

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (mbele ) akiongoza kikao kilichokutanisha ujumbe kutoka Benki ya Dunia na watalaam wa Wizara ya Nishati na Madini ili kujadili maendeleo ya miradi ya nishati nchini inayofadhiliwa na Benki hiyo, changamoto zake na kupata mapendekezo ya kuboresha miradi hiyo.Mkurugenzi wa Benki ya Dunia kwa nchi za Tanzania, Uganda na Burundi , Philippe Dongier (kushoto) akimweleza Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) mikakati ya Benki hiyo...

 

9 years ago

Michuzi

WAZIRI MAKAMBA AKUTANA NA UJUMBE WA Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) jijini Dar

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (mbele), akitafakari jambo wakati wa kikao cha kujadili changamoto na utekelezaji wa majukumu ya Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC) jijini Dar es Salaam leo, kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Tume hiyo, Abdulrahaman Jumbe. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano na Mazingira, Mheshimiwa January Makamba (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Tume ya Pamoja ya Fedha (JFC)...

 

11 years ago

Michuzi

DKT. BILAL AKUTANA NA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA JAPAN NA UJUMBE WAKE IKULU DAR

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Naibu Waziri wa wa Mambo ya Nje wa Japan, Norio Mitsuya (kulia kwake) aliyeongozana na ujumbe wake wakati walipofika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Feb 01, 2014 kwa mazungumzo. Picha na OMR

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA, TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl. Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akisisitiza jambo.  Ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya...

 

11 years ago

GPL

WAZIRI KIGODA AKUTANA NA UJUMBE WA WAWEKEZAJI TOKA UJERUMANI WANAOTAKA KUJENGA KIWANDA CHA MBOLEA,TANZANIA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdallah Omar Kigoda akiongea ofisini kwake jijini Dar es Salaam na ujumbe kutoka kampuni ya Ujerumani ya Helma Dungemittel ambayo ina mpango wa kuwekeza kwenye kiwanda cha kuzalisha mbolea kwa kutumia gesi asilia. Pembeni yake ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Bi. Janet Mbene pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo, Bw. Oliver Mehl. Waziri wa Viwanda na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani