Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WB yaridhishwa uboreshaji TPA

BENKI ya Dunia (WB) Kanda ya Afrika imeridhishwa na maboresho ya miundombinu yanayofanywa na Mamlaka ya Usimamzi wa Bandari (TPA) katika Bandari ya Dar es Salaam, ikisema yatainufaisha Tanzania na nchi zinazoitumia kupitisha shehena.

Makamu wa Rais wa WB Kanda ya Afrika, Makhtar Diop, aliyasema hayo alipofanya ziara bandarini kujionea miradi inayofadhiliwa na benki hiyo kuboresho miundombinu itakayoongeza ufanisi wa kazi.

“Tunatambua kuwa uboreshaji huu ni muhimu kwa Tanzania na kwa...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Serikali yaridhishwa na DART

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Hawa Ghasia ameridhishwa na tathmini ya Mkutano wa Mashauriano wa awamu ya kwanza wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART), uliofanyika hivi karibuni.

 

11 years ago

Habarileo

CCM yaridhishwa na kampeni za Kalenga

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Phillip Mangula amesema amejiridhisha na mwenendo wa kampeni za chama chake katika uchaguzi mdogo wa Kalenga.

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na Tanzania

BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayoendeshwa na Serikali, inayofadhiliwa na benki hiyo. Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia, ambaye ni Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Kudhamini Uwekezaji (Miga), Michael Wormser, amesema hayo jana katika mkutano wake na waandishi wa habari.

 

9 years ago

Habarileo

UN yaridhishwa na utekelezaji wa miradi yake

MRATIBU wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa nchini (UNDP), Alvaro Rodriguez amesema ameridhishwa na utekelezaji wa miradi inayofadhiliwa na Shirika hilo katika maeneo mbalimbali mkoani Singida kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita.

 

10 years ago

Habarileo

Benki ya Dunia yaridhishwa na DART

Mkurugenzi Mtendaji na Ofisa Mkuu Uendeshaji wa Benki ya Dunia, Sri Mulyani IndrawatiBENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) na kuahidi kuhakikisha awamu zote za mradi zinakamilika kwa uhakika.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM yaridhishwa na upigaji kura

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeridhishwa na upigaji kura uliofanyika nchi nzima Jumapili kuwa ulikuwa wa amani na utulivu.

 

10 years ago

Mwananchi

Italia yaridhishwa na utekelezaji wa miradi

Balozi wa Italia, nchini Luigi Scotto amesema majengo ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Dodoma yaliyopo chini ya ufadhili wa nchi hiyo ni ya kuridhisha.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Benki ya Dunia yaridhishwa mradi wa DART

BENKI ya Dunia imeridhishwa na utekelezaji wa mradi wa mabasi yaendayo haraka (DART), ambao upo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi). Akizungumza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani