WEMA AZIMIA

Stori: waandishi wetu CHUKI tu! Katika jambo ambalo limeuumiza moyo wa Miss Tanzania 2006/07, Wema Isaac Sepetu ‘Beautiful Onyinye’ tangu awe staa, ni ishu iliyotokea wikiendi iliyopita baada ya mtu asiyejulikana kutengeneza picha chafu ya mama mzazi wa mrembo huyo, Mariam Sepetu na kisha kuisambaza kwenye mitandao ya kijamii kitu ambacho kilimshtusha na kujikuta akipoteza fahamu (kuzimiainatoka uk.1 Diva katika...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
NUH AMUOMBA WEMA PENZI, SHILOLE AZIMIA!
11 years ago
GPL
DENTI ABAKWA, AZIMIA, ALAZWA
10 years ago
GPL
SANGOMA AZIMIA AKITOA MAJINI!
11 years ago
Mwananchi22 Feb
Aliyeshika nafasi ya tatu azimia
10 years ago
GPL
WASTARA AZIMIA KISA MAPENZI
10 years ago
Mtanzania28 Mar
Gwajima azimia akihojiwa polisi
Asifiwe George na Humphrey Shao
ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alizimia na kisha kukimbizwa hospitali wakati akihojiwa Kituo Kikuu cha Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam.
Gwajima ambaye alijisalimisha kituoni hapo saa 8:22 jana mchana akiitikia wito wa polisi uliomtaka kufika kutokana na tuhuma za kutoa lugha chafu dhidi ya Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.
Waandishi wa Mtanzania Jumamosi waliokuwa...
10 years ago
GPL
BWANA HARUSI AZIMIA MARA 3
11 years ago
GPL
BOSI AMJERUHI MFANYAKAZI WAKE, AZIMIA
11 years ago
GPL
DEVOTHA MBAGA AZIMIA MSIBANI, ALAZWA