WEMA, KAJALA NGUMI NJE NJE!
![](http://api.ning.com:80/files/OmzXdzxeBqzjtnIwmqKpfD0GPTZzxd9iWg7Mwn3C4DncE983asb6nnhXISGYq-8qBHbrDNJ8yNvIzMp1yHhQ9e6brQFi195s/kajala.jpg?width=650)
Stori: Imelda Mtema na Musa Mateja NI shida! Zile shilingi milioni 13 alizotoa Wema Isaac Sepetu kumlipia msanii maarufu wa sinema Bongo, Kajala Masanja asitupwe gerezani, bado ni tatizo ikidaiwa kuwa sasa ngumi nje nje. Kajala akitoa maelezo kwa uchungu unaodhihirisha uhasama kati yake na Wema. JINA LA MILIONI 13 ZA WEMA Kwa muda mrefu sasa, Kajala amekuwa akitukanwa kwenye mitandao ya kijamii hasa matusi ambayo hayaandikiki...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL17 Jan
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Bongo503 Jul
Ch*chu nje nje: Huddah apost picha za aibu kwenye Instagram!
10 years ago
Bongo513 Oct
Mariah Carey — kufuli nje nje kwenye show ya China (Picha)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m3kRA-aqkq--rRXlKjKxGC*IQVPLL0LfT9s7h8wVhh9JmxkrwEjfugVI2eyAADbIWjAvHJQysSFizNofX87RJwjAxMhqFAQY/MUHIMBI.jpg)
MUHIMBILI VIFO NJE NJE KISA DAWA HAKUNA
10 years ago
Mwananchi11 Jan
MAISHA: Ngono, bangi ‘nje nje’ mgodini Ihanzutwa-2
10 years ago
Mwananchi10 Jan
Ngono, bangi ‘nje nje’ mgodini Ihanzutwa
9 years ago
Mzalendo Zanzibar27 Sep
Magufuri presha juu — hasira nje nje
Leo baada ya kupata na kuonja joto ya jiwe alipojaribu kutaka kuhutubia wakati akiwa njiani ,kwa kweli si jambo alilolitegemea kabisa na uhakika hakuamini wala kufikiri kama yaliyotokea mbele ya macho na masikio yake yangeweza kutokea […]
The post Magufuri presha juu – hasira nje nje appeared first on Mzalendo.net.
10 years ago
Mwananchi23 Feb
SIASA: Vita ya urais CCM nje nje