Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WEMA KAMWAGA MBOGA, KAJALA AJIANDAA KUMWAGA UGALI

Staa katika tasnia ya Bongo Movie, Wema Isaac Sepetu. Baada ya siku za hivi karibuni, Wema Sepetu kuamua kumwaga mboga kwa kumfungukia shosti wake wa zamani Kajala Masanja kwa kusema si rafiki mzuri na pia amefilisika, inadaiwa Kajala anajiandaa kumwaga ugali, Ijumaa limetonywa. Rafiki wa karibu wa Kajala aliyeomba hifadhi ya jina lake, alimtonya mwandishi wetu kuwa maneno anayoyatoa Wema yanamkosesha amani mwenzake na kwamba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BIBI AMUANDALIA OBAMA UGALI, MBOGA ZA KIENYEJI

Mwandishi wetu LICHA ya Ubalozi wa Marekani jijini Nairobi kusisitiza kuwa Rais Barack Obama hatatembelea Kijiji cha K’Ogelo, alikozaliwa baba yake mzazi, bibi yake, Mama Sarah Obama amesema atamuandalia chakula kizuri cha kiasili ukiwamo ugali na mboga za majani za kienyeji. ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1LEqlxf

 

10 years ago

Mwananchi

KONA YA MAKENGEZA: Bongo hoteli mwaga ugali tujimwage na mboga

>Duh!  Kwa nini hatuoni?  Kwa nini hawasemi ukweli?  Kwa nini hatujisifu?  Sisi ndiyo sisi.  Hoteli kubwa kuliko zote duniani.

 

9 years ago

Mwananchi

UKWELI UTAKUWEKA HURU: CCM inapomwaga ugali, Ukawa inamwaga mboga

Sasa tumeingia katika kipindi cha kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu. Katika uchaguzi huo Watanzania kwa mara nyingine watapata fursa ya kuwachagua madiwani, wabunge na Rais wa awamu ya tano.

 

11 years ago

Bongo Movies

Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala


Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji  Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari  ambayo  ilisambaa  katika  mitandao  mbalimbali  ya  kijamii.

Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kajala akunwa na kumwaga mahela kwa waimbaji wa Skylight Band wanaotoa burudani kila Ijumaa Thai Village, Masaki

DSC_0028

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village huku akipewa sapoti na Digna Mbepera.

DSC_0030

Digna Mbepera na Bela Kombo wakimpa back up Aneth Kushaba AK47 kwenye show zao za kila Ijumaa ndani ya viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.

DSC_0071

Majembe ya Skylight Band yakionyesha manjonjo yao jukwaani Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki.

DSC_0082

Aneth Kushaba na Sam Mapenzi wakiwapa raha mashabiki wao...

 

10 years ago

Bongo Movies

'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema

Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao

ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.

Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...

 

11 years ago

Michuzi

Wakulima Mbeya Waneemeka na Elimu ya uzalishaji wa Mboga Mboga kutoka TAHA

Mh. Dr. Christine Ishengoma Mkuu wa Mkoa wa Iringa akipokea taarifa kuhusu mfumo wa taarifa za masoko kutoka TAHA unavyofanya kazi zake kutoka kwa Cyrila Antony Afisa wa MasokoMkuu wa mkoa wa Iringa  Mh. Dr. Christine Ishengoma akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalamu wa kilimo wa TAHA Bw Ringo kuhusu uzalishaji wa zao la nyanya Elimu ikiendelea kutolewa.PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani