Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wema: Sherehe ya Tiffah Haikunihusu

Staa asiyechuja Bongo, Wema Sepetu amefunguka kuwa hakuhudhuria kwenye 40 ya mtoto wa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond’ ambaye alikuwa mpenzi wake kwa kuwa haikuwa inamuhusu.

Akizungumza na mwandishi wetu hivi karibuni baada ya kumuuliza kwa nini hakuonekana kwenye sherehe hiyo, Wema alisema asingeweza kwenda kwa kuwa haikuwa ikimuhusu hata kidogo.

“Sasa jamani ningeenda kwenye hiyo sherehe wakati haikuwa ikinihusu kwa lolote, mfano ningeenda pale kama nani sasa na wala sikuwa najua kama...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Christian Bella awa kiburudisho sherehe ya Tiffah

IMG-20150921-WA0004NA CHRISTOPHER MSEKENA

MASTAA wengi wamejitokeza kuiona sura ya mtoto wa msanii, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’, anayeitwa Lattifah ‘Tiffah’ baada ya kutimiza siku 40 tangu alipozaliwa.

Baadhi ya mastaa waliohudhuria katika sherehe ya kutolewa mtoto huyo ni Aunt Ezekiel, Mrisho Mpoto, Queen Dareen, Shetta, Christian Bella, Dj Ommy na wengine wengi.

Msanii Christian Bella ndiye alikuwa mtumbuizaji mkuu katika sherehe hiyo na kukonga nyoyo zao hasa alipoimba wimbo wa ‘Ukimuona’, ambao ni...

 

10 years ago

GPL

MAMA WEMA AFANYA SHEREHE

CHEREKO chereko! Siku chache baada ya supastaa ‘grade one’ wa sinema za Bongo, Wema Sepetu ‘madam’ kummwaga King of Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, mama mzazi wa mwigizaji huyo, Mariam Sepetu ameangusha sherehe ya nguvu kama ishara ya kuonesha ‘amekunwa’ na tukio hilo, Ijumaa Wikienda linashuka nayo mstari kwa mstari. Supastaa ‘grade one’ wa sinema za Bongo,...

 

9 years ago

GPL

TIFFAH SI MTOTO WA DIAMOND

Mwandishi wetu Kazi ipo! Siku chache baada ya kuliona jua, mtoto wa kike ‘baby girl’ wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ aliyempata kupitia kwa mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, Latifah a.k.a Princess Tiffah anazidi kuwa gumzo. ...Soma zaidi===>http://goo.gl/VD59sx

 

9 years ago

GPL

40 YA TIFFAH YAACHA MADENI!

0OHOOO! Kuna madai kwamba, ile pati ya kukata na shoka ya kutimiza siku 40 kwa mtoto wa nyota wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Latifah Nasibu ‘Princess Tiffah’ iliisha huku nyuma ikiacha madeni ya kiasi cha shilingi 1,005,000, Amani limechimbua.  ...Soma zaidi====>http://bit.ly/1L5tuVy

 

9 years ago

GPL

9 years ago

GPL

TIFFAH AWAGOMBANISHA DIAMOND, ZARI

Mwandishi Wetu
MVUTANO! Ndivyo unavyoweza kusema baada mastaa wapendanao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ kujikuta wakipishana kauli kutokana na mvutano wa kibiashara unaohusu Sherehe ya Arobaini ya mtoto wao mchanga, Latiffah Nasibu ‘Tiffah’ ambaye amedhaminiwa Sh. Mil. 40 na makampuni mbalimbali yanayojishughulisha na bidhaa za watoto, Ijumaa...

 

9 years ago

Bongo5

Music: Meda — Princess Tiffah

Msanii Meda baada ya kutoka na wimbo wa “Barua Kwa Diamond” ametoa wimbo huu unaitwa “Princess Tiffah” kwaajili ya mtoto wa Diamond Platnumz. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

 

9 years ago

GPL

DIAMOND AMUAIBISHA MAMA TIFFAH


Mwandishi wetu Kitendo cha mwanamuziki wa Afro-Pop, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kudaiwa kutupia mtandaoni video inayomuonesha mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ au Mama Tiffah akioga bafuni, kimetafsiriwa kuwa ni kumuabisha mzazi mwenziye huyo. NI NDANI YA WHITE HOUSE Video hiyo ya hivi karibuni, inadaiwa Diamond aliitupia kwenye akaunti yake ya Mtandao wa Instagram kisha kuitoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani