Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wengi wape haitaipa nchi katiba inayofaa

Mara kwa mara tumesema kwamba kitu cha msingi kinachotakiwa kutoka katika mioyo ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba ni kuandika Katiba mpya inayozingatia masilahi ya umma.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

‘Tumuombe Mungu nchi ipate katiba ya wengi’

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Dk Barnabas Mtokambali amesema vyama vya siasa haviwezi kuwa suluhisho la kupatikana kwa Katiba mpya bali kinachotakiwa ni kumuomba Mungu ili nchi ipate katiba yenye maslahi ya wengi na si kwa ajili ya kundi dogo la watu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kwa Bunge hili na hoja hizi, tutapata katiba inayofaa?

MWANICHEFUA naapa! Mmeenda  Dodoma tukiwa taifa moja, lakini kwa   hisia zenu hizi zilizokosa uzalendo mnaweza mkarudi mkatuachia nchi iliyo vipande vipande. Nasema hata yale ya posho mie wacha tu nikae...

 

10 years ago

Michuzi

UZINDUZI WA FILAMU YA WAPE SALAMU ZAO JUMAPILI

UZINDUZI wa filamu ya Wape Salamu Zao unatarajia kufanyika siku ya Jumapili tarehe 9 November katika ukumbi Travetine Magomeni, jijini Dar es salaam.Uzinduzi huo utambatana na ujio wa sesson 2 kipindi cha Ulimwenguni wa filamu cha TBC 1,kinachoongozwa na Juma Mtetwa katika, kivutio kikubwa ni Jackson Kabirigi ‘Kisate’. “Nimepanga kuacha historia katika uzinduzi wa filamu ya Wape Salamu Zao, kuna vitu vingi sana ambavyo sijawahi kuwaonyesha watazamaji hajawahi kuviona kutoka kwangu tarajieni...

 

10 years ago

Vijimambo

WENGI WAVUTIWA NA “APP” INAYOTANGAZA VIVUTIO VYA KITALII NCHI TANZANIA

 App inayoonyesha vivutio mbalimbali vya kitalii  nchini Tanzania,  App hiyo ambayo imeandaliwa na Bi. Benita Cassar Torreggiani kwa  kusaidiwa na wataalam kutoka Apple  inaweza kupatikana kupitia  mitandao ya Ipad, Iphone na  Smart Phone.  Mfanyakazi wa Apple Store Grand Centra jijini New  York ambako onyesho hilo lilifanyika akimtambulisha Bi. Benita. Balozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika  Umoja wa Mataifa,  akizungumza  na Bi . Benita ambapo alimshukuru kwa uamuzi...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wengi hawana uelewa wa Katiba’

KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kimebaini Watanzania wengi hasa walio mikoa ya pembezoni, kutokuelewa kuhusu mchakato wa Katiba mpya unaoendelea.

 

10 years ago

Mwananchi

Wengi waigunia Katiba Mpya

Saa 24 baada ya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein kukabidhiwa Katiba Inayopendekezwa, makundi mbalimbali ya watu yameonyesha wasiwasi kuhusu hatima ya mchakato huo kwa maelezo kwamba haijabeba maoni ya wananchi.

 

11 years ago

GPL

MAONI YA WACHACHE, WENGI, BUNGE LA KATIBA LIMEPINDA

Na Luqman Maloto HUKO nyuma niliwahi kuandika makala, nikaeleza “Siasa, porojo na uhuni  siyo matarajio ya Watanzania Bunge la Katiba”. Aliyesoma alinielewa. Kama hukupata bahati hiyo, lengo langu lilikuwa kila mmoja ambaye anaitwa Mjumbe wa Bunge la Katiba, avae uzalendo. Mtanzania hatanufaika kwa misimamo ya makundi. Atakuwa bora kama nchi yake itatendewa haki kwa muundo wa katiba yenye jicho la kumpa hifadhi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘TFDA itoe tamko dawa ya meno inayofaa’

MAMLAKA ya Chakula na Dawa (TFDA) na Shirika la Viwango nchini (TBS) wametakiwa kufanya uchunguzi na kutoa tamko kuhusu dawa za meno zinazofaa. Rai hiyo ilitolewa  jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Mwananchi

Kauli zilizovuta hisia ya wengi Bunge Maalum la Katiba Dodoma

>Ni vigumu kueleza matukio yote yaliyotawala kauli na hisia za wengi kwa wiki nzima mjini Dodoma bila kuangalia  michango ya baadhi ya wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani