WENYE SILAHA ZA NYUKILIA TUHAKIKISHIENI USALAMA WETU - TANZANIA
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu upokonyaji wa silaha. wajumbe wa mkutano huo wamejadiliana pamoja na mambo mengine umuhimu wa kudhibiti matumizi ya silaya za nyukili ikiwa ni pamoja na kusambaa kwake pamoja kuanzishwa kwa Ukanda huru dhidi ya silaha hizo. Sehemu ya wajumbe wa mkutano wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya upokonyaji wa silaha, mkutano huu unafanyika hapa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
VijimamboWENYE SILAHA ZA NYUKILIA TUHAKIKISHIENI USALAMA WETU-TANZANIA
10 years ago
VijimamboWENYE SILAHA ZA NYUKILIA WATUHAKIKISHIE USALAMA -TANZANIA
10 years ago
Mwananchi13 Jul
Watu wenye silaha wavamia kituo cha polisi Dar, waua, waiba silaha
11 years ago
MichuziMATUMIZI SALAMA YA NYUKILIA YASIZUIWE- TANZANIA
9 years ago
Mwananchi30 Dec
Fichueni wakimbizi wenye silaha- PM
10 years ago
GPLAFISA USALAMA FEKI, SILAHA ZAKAMATWA NA POLISI
9 years ago
BBCSwahili20 Nov
Watu wenye silaha washambulia hoteli Mali
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Abbott ''Usalama wetu unatangulia uhuru ''
9 years ago
BBCSwahili02 Jan
Watu wenye silaha wavamia kambi ya jeshi India