Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MATUMIZI SALAMA YA NYUKILIA YASIZUIWE- TANZANIA

Na Mwandishi Maalum  Tanzania imeendelea kusisitiza kwamba, nchi ambazo hazina mpango wa kuwa na silaha za nyukilia basi ziwe na haki ya kutumia nyukilia kwa matumizi salama, na pia kupewa misaada ya kiufudi na uwezeshwaji katika eneo hilo  Hayo yameelezwa na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Ramadhan Mwinyi wakati alipokuwa akitoa maoni ya Tanzania katika mkutano wa Kamati ya Maandalizi kwaajili ya mkutano utakaofanyia tathmini utekelezaji...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

WENYE SILAHA ZA NYUKILIA WATUHAKIKISHIE USALAMA -TANZANIA

.Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa Balozi Ramadhan Mwinyi akichangia majadiliano kuhusu ajenda ya uthibiti wa silaha za nyukilia hapo siku ya jumanne. Akizungumza msimamo wa Tanzania kuhusu silaha hizo, Balozi Mwinyi amezitaka nchi zinazomiliki silaha hizo kuonyesha utashi wa kisiasa wa kuzipunguza na kuzidhibiti ili zisisambae kiholela lakini pia waihakikishie dunia usalama wake.Sehemu ya wajumbe wa Kamati ya Kwanza ya Baraza Kuu...

 

10 years ago

Michuzi

WENYE SILAHA ZA NYUKILIA TUHAKIKISHIENI USALAMA WETU - TANZANIA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu upokonyaji wa silaha. wajumbe wa mkutano huo wamejadiliana pamoja na mambo mengine umuhimu wa kudhibiti matumizi ya silaya za nyukili ikiwa ni pamoja na kusambaa kwake pamoja kuanzishwa kwa Ukanda huru dhidi ya silaha hizo. Sehemu ya wajumbe wa mkutano wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya upokonyaji wa silaha, mkutano huu unafanyika hapa...

 

10 years ago

Vijimambo

WENYE SILAHA ZA NYUKILIA TUHAKIKISHIENI USALAMA WETU-TANZANIA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Balozi Tuvako Manongi akizungumza wakati wa Mkutano wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu upokonyaji wa silaha. wajumbe wa mkutano huo wamejadiliana pamoja na mambo mengine umuhimu wa kudhibiti matumizi ya silaya za nyukili ikiwa ni pamoja na kusambaa kwake pamoja kuanzishwa kwa Ukanda huru dhidi ya silaha hizoSehemu ya wajumbe wa mkutano wa Kamisheni ya Umoja wa Mataifa ya upokonyaji wa silaha, mkutano huu unafanyika hapa ...

 

10 years ago

Mtanzania

Jamii yashauriwa kuzingatia matumizi salama ya mitandao

yusuphNA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

WATAALAMU wa mitandao wametoa wito kwa jamii juu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.

Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mawasiliano, mtaalamu wa usalama katika mitandao na uchunguzi wa makosa ya digitali, Yusuph Kileo, alisema matumizi mabaya ya mitandao yasipodhibitiwa yanaweza kuchangia kuyumba kwa...

 

11 years ago

Michuzi

MAJI HAYA SI SALAMA KWA MATUMIZI YA KIBINADANU


Wakazi wa eneo la Isanga jijini Mbeya wakichota maji yaliyotuama katika barabara ya eneo hilo kwa wakati tofauti kwa ajili ya matumizi mbali mbali nyumbani kwake kama alivyonaswa na Kameta yetu,hii ni hali ya hatari sana kwa maisha ya binadamu hasa kutokana na kuwepo kwa wimbi la magonjwa ya mlipuko.Picha na Fadhil Atick Globu ya Jamii,Mbeya. Baiskeli zinapita hapo hapo. Magari pia yanapita hapo hapo.

 

5 years ago

Michuzi

Wajasiriamali waaswa matumizi salama ya Kemikali nchini



Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii

Wajasiriamali wanaozalishaji wa bidhaa mbalimbali zinzotumia kemikali wametakiwa kutumia kemikali hizo kwa usalama ili ziweze kuleta madhara kwa  watumiaji na wakati mwingine madhara hayo yanaweza kutokea hata kwa wazalishaji.

Akizungumza  katika Mafunzo ya wajasiriamali wa Wadogo na Kati wa Kanda ya Mashariki  yaliyofanyika  jijini Dar es Salaam Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko amesema kuwa uchumi wa viwanda nchini pamoja na wazalishaji  wa...

 

10 years ago

Ykileo

OKTOBA NI MWEZI WA KUKUZA UELEWA WA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO


Miaka 11 iliyopita Marekani ikitambua ukuaji wa matumizi mabaya ya mitandao walianzisha kampeni maalum iliyoamuliwa kufanyika kila mwezi oktoba. Kampeni hiyo maalum ilihamasisha mashule , kampuni binafsi na  serikali kutumia mwezi oktoba kuhamashisha uelewa wa matumizi salama ya mitandao.


Kadri muda ulivyojongea Mataifa mengine yaliamua kutumia mwezi huo kuwa mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao ambapo sasa mataifa mengi tayari yamesha kua yakiazimisha kampeni hizi. Mwaka huu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mazungumzo ya nyukilia kuendelea Vienna

Mkutano mkuu wa nchi sita zenye nguvu duniani ikiwemo Iran,utaendelea Vienna ,na tarehe ya mazungumzo hayo kutajwa .

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani