MAJI HAYA SI SALAMA KWA MATUMIZI YA KIBINADANU
Wakazi wa eneo la Isanga jijini Mbeya wakichota maji yaliyotuama katika barabara ya eneo hilo kwa wakati tofauti kwa ajili ya matumizi mbali mbali nyumbani kwake kama alivyonaswa na Kameta yetu,hii ni hali ya hatari sana kwa maisha ya binadamu hasa kutokana na kuwepo kwa wimbi la magonjwa ya mlipuko.Picha na Fadhil Atick Globu ya Jamii,Mbeya.
Baiskeli zinapita hapo hapo.
Magari pia yanapita hapo hapo.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-G9Ki11HfijM/VS3sp6VpIiI/AAAAAAAASVs/X1P32EQysYg/s72-c/Shida%2Bya%2Bmaji.jpg)
WACHOTA MAJI "TAKA" KWA MATUMIZI YA NYUMBANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-G9Ki11HfijM/VS3sp6VpIiI/AAAAAAAASVs/X1P32EQysYg/s640/Shida%2Bya%2Bmaji.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-ZZB4e2JpVj0/VdOAlibsLdI/AAAAAAAB5QQ/E2lw2Qh2Wfk/s72-c/746.jpg)
BALOZI SEIF AZINDUA MRADI WA MAJI SAFI NA SALAMA KWA WANANCHI WA SHEHIA YA JONGWE, JIMBO LA KIWANI
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZZB4e2JpVj0/VdOAlibsLdI/AAAAAAAB5QQ/E2lw2Qh2Wfk/s640/746.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-lD6IQtSjdRQ/VdOAlX4MJFI/AAAAAAAB5QM/teEe2xhPfpY/s640/747.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-0kZfNGdyJ3c/VdOAlTo91-I/AAAAAAAB5QU/s-4LENOZFcQ/s640/748.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T8NEyQc3dzQ/U2Mstq-SARI/AAAAAAAFewU/WMn5mobSuzI/s72-c/unnamed+(1).jpg)
MATUMIZI SALAMA YA NYUKILIA YASIZUIWE- TANZANIA
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Jamii yashauriwa kuzingatia matumizi salama ya mitandao
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
WATAALAMU wa mitandao wametoa wito kwa jamii juu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mawasiliano, mtaalamu wa usalama katika mitandao na uchunguzi wa makosa ya digitali, Yusuph Kileo, alisema matumizi mabaya ya mitandao yasipodhibitiwa yanaweza kuchangia kuyumba kwa...
5 years ago
MichuziWajasiriamali waaswa matumizi salama ya Kemikali nchini
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Wajasiriamali wanaozalishaji wa bidhaa mbalimbali zinzotumia kemikali wametakiwa kutumia kemikali hizo kwa usalama ili ziweze kuleta madhara kwa watumiaji na wakati mwingine madhara hayo yanaweza kutokea hata kwa wazalishaji.
Akizungumza katika Mafunzo ya wajasiriamali wa Wadogo na Kati wa Kanda ya Mashariki yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko amesema kuwa uchumi wa viwanda nchini pamoja na wazalishaji wa...
10 years ago
Ykileo![](http://1.bp.blogspot.com/-Y9VcYarR-2o/VBqqsPdxqFI/AAAAAAAAA5w/W-3G9ex5TTk/s72-c/abc.jpg)
OKTOBA NI MWEZI WA KUKUZA UELEWA WA MATUMIZI SALAMA YA MITANDAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-Y9VcYarR-2o/VBqqsPdxqFI/AAAAAAAAA5w/W-3G9ex5TTk/s1600/abc.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-_9krU4fNHZQ/VBqrZHufn_I/AAAAAAAAA54/fBvgsI1NwPE/s1600/ncsam_googleplus_cover_photo_2014.jpg)
Kadri muda ulivyojongea Mataifa mengine yaliamua kutumia mwezi huo kuwa mwezi wa kukuza uelewa wa matumizi salama ya mitandao ambapo sasa mataifa mengi tayari yamesha kua yakiazimisha kampeni hizi. Mwaka huu...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/AWFi-iAZInE/default.jpg)
10 years ago
Dewji Blog28 Sep
Kisaki kupata maji salama
Mhandishi wa maji manispaa ya Singida, Max Kaaya akitoa maelezo juu ya miradi ya maji kwa Naibu Waziri wa Maji Eng. Benelith Mahenge aliyekuwa ziarani mkoani Singida.(Picha na Nathaniel Limu Maktaba).
Na Mwandishi wetu
WANANCHI wa Kijiji cha Kisaki, katika Manispaa ya Singida wanatarajia kuanza kunufaika na huduma za maji safi na salama ifikapo mwishoni mwa mwezi ujao, baada ya mradi wa maji unaotarajiwa kutumia zaidi ya shilingi milioni 55.1 utakapokamilika.
Mhandisi wa maji wa Manispaa...
10 years ago
Habarileo29 Jan
8,000 wafaidika na maji safi na salama
WANANCHI zaidi ya 8,000 wanaoishi katika vijiji vya Dala na Mvuha kata ya Mvuha, wilayani Morogoro, wameanza kunufaika na huduma ya maji safi na salama, baada ya kukamilishwa kwa upanuzi wa mradi wa kisima cha maji kilichopo katika kata hiyo.