Wajasiriamali waaswa matumizi salama ya Kemikali nchini
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Wajasiriamali wanaozalishaji wa bidhaa mbalimbali zinzotumia kemikali wametakiwa kutumia kemikali hizo kwa usalama ili ziweze kuleta madhara kwa watumiaji na wakati mwingine madhara hayo yanaweza kutokea hata kwa wazalishaji.
Akizungumza katika Mafunzo ya wajasiriamali wa Wadogo na Kati wa Kanda ya Mashariki yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Mkemia Mkuu wa Serikali Dkt. Fidelice Mafumiko amesema kuwa uchumi wa viwanda nchini pamoja na wazalishaji wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi22 Dec
Serikali kudhibiti matumizi kemikali
10 years ago
GPLMKEMIA MKUU ABORESHA MATUMIZI YA KEMIKALI ZA MAABARA
10 years ago
Tanzania Daima30 Sep
Wajasiriamali waaswa kuzingatia viwango
WAJASIRIAMALI wadogo na wa kati nchini wametakiwa kuzalisha bidhaa bora kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa kwa mtumiaji. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam juzi, Msemaji wa Shirika la ViwangoTanzania...
11 years ago
Dewji Blog26 Apr
Dk. Makongoro Mahanga afungua kongamano la afya na usalama katika matumizi ya Kemikali sehemu za kazi ndogo
Washiriki wakijiandikisha nje ya ukumbi kabla ya kuanza kwa kongamano la afya na usalama katika matumizi ya kemikali sehemu za kazi
Zoezi la uandikishaji na uhakiki wa majina ya washiriki wa kongamano ukiendelea
Mgeni rasmi Naibu Waziri wa kazi Mhe Dk Makongoro Mahanga akiingia ukumbini
Wajasiriliamali wakiwa wamesimama kumpokea Mgeni Rasmi Naibu Waziri wa kazi Dk Makongoro Mahanga
Dk Akwilina Kayumba akitoa neno la kumkaribisha Naibu Waziri wa Kazi ndani ya ukumbi wa ILO jijini...
10 years ago
StarTV28 Dec
Wajasiriamali waaswa kuendesha biashara zao kitaalamu.
Na Amina Saidi, Mbeya.
Wajasiriamali nchini wametakiwa kujifunza mbinu za kuendesha biashara zao kitaalamu ili kukuza mitaji.
Hatua hiyo itazijafanya biashara hizo kuwa endelevu na zenye tija.
Ni katika uzinduzi wa kitabu cha Mjasiriamali kinacholenga kutoa elimu itakayowasaidia wajasiriamali wadogo na wa kati kukuza mitaji ya biashara zao kitaalamu badala ya kuendesha biashara za kuiga ama kufuata mkumbo ambazo mara nyingi si endelevu.
Mtunzi wa kitabu hicho mjasiriamali mdogo...
9 years ago
MichuziWakulima waaswa kwenye matumizi ya mikopo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-T8NEyQc3dzQ/U2Mstq-SARI/AAAAAAAFewU/WMn5mobSuzI/s72-c/unnamed+(1).jpg)
MATUMIZI SALAMA YA NYUKILIA YASIZUIWE- TANZANIA
11 years ago
MichuziMAJI HAYA SI SALAMA KWA MATUMIZI YA KIBINADANU
Wakazi wa eneo la Isanga jijini Mbeya wakichota maji yaliyotuama katika barabara ya eneo hilo kwa wakati tofauti kwa ajili ya matumizi mbali mbali nyumbani kwake kama alivyonaswa na Kameta yetu,hii ni hali ya hatari sana kwa maisha ya binadamu hasa kutokana na kuwepo kwa wimbi la magonjwa ya mlipuko.Picha na Fadhil Atick Globu ya Jamii,Mbeya.
10 years ago
Mtanzania10 Aug
Jamii yashauriwa kuzingatia matumizi salama ya mitandao
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
WATAALAMU wa mitandao wametoa wito kwa jamii juu ya matumizi salama ya mitandao ili kupunguza uhalifu katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Wakizungumza na MTANZANIA kwa nyakati tofauti jijini Dar es Salaam wakati wa mkutano wa mawasiliano, mtaalamu wa usalama katika mitandao na uchunguzi wa makosa ya digitali, Yusuph Kileo, alisema matumizi mabaya ya mitandao yasipodhibitiwa yanaweza kuchangia kuyumba kwa...