Willy Kitima awa msaidizi wa Rais
RAIS Jakaya Kikwete amemteua Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais (Nyaraka) kuanzia Desemba 11 mwaka huu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Dec
Willy Kitima ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais-nyaraka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais – Nyaraka (Documentation) kuanzia Alhamisi iliyopita, Desemba 11, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Kitima alikuwa Mratibu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa ya Biashara nchini ya Business Action Against Corruption (BAAC) Tanzania.
Taasisi hiyo inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Jumuiya ya Madola na Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
9 years ago
Raia Mwema28 Aug
Dk. Kitima: Tunataka Rais atakayefanya uamuzi kwa kutumia nyongo
Tunapoelekea Uchaguzi Mkuu, Mwandishi Wetu Deus Bugaywa, amefanya mahojiano na aliyekuwa makamu m
Mwandishi Wetu
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-HifeyUz-ocI/XrVpx_PsBlI/AAAAAAALpf4/LM0bu-3zvEkmYIv3AXmdRAKmXRcIpG9oQCLcBGAsYHQ/s72-c/Magufuli.jpg)
10 years ago
Dewji Blog19 May
Rais Nyusi awa Rais wa kwanza wa Msumbiji kulihutubia Bunge la Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-Cm4yBkdOv2E/VVtRyQ_ItLI/AAAAAAAAb8Q/QQsCnqh2H5A/s320/7.jpg)
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akiingia ndani ya ukumbi wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiongozana na wenyeji wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Spika wa Bunge la Muungano wa Tanzania Mhe.Anne Makinda.
Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi akilihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mjini Dodoma.
Na Immaculate Makilika na Lydia Churi – MAELEZO, DODOMA.
Rais wa Jamhuri ya Msumbiji Mheshimiwa Felipe Nyusi amelihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-hn7ppBhwAfU/Uw2YqE6Zd4I/AAAAAAAFPoc/YVCrS-_XrYo/s72-c/download+(1).jpg)
togolani mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais - Hotuba
![](http://4.bp.blogspot.com/-hn7ppBhwAfU/Uw2YqE6Zd4I/AAAAAAAFPoc/YVCrS-_XrYo/s1600/download+(1).jpg)
Taarifa iliyotolewa Jumanne, Februari 25, 2014, mjini Dar Es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa Bwana Mavura anachukua nafasi ya Bwana Msafiri Marwa ambaye amehamishimiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kupangiwa kazi nyingine. Kabla ya uteuzi...
11 years ago
Habarileo07 Aug
Mukoba awa Rais mpya Tucta
MKUTANO Mkuu wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta), umemchagua Rais wa Chama cha Walimu (CWT), Gratian Mukoba, kuwa Rais wa shirikisho hilo katika uchaguzi uliokwenda raundi mbili, baada ya raundi ya kwanza kukosa mshindi.
10 years ago
Habarileo04 Nov
Makinda awa Rais mpya Bunge la SADC
MKUTANO wa 36 wa Bunge la nchi wanachana wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), umemchagua kwa kishindo Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Makinda kuwa Rais wa Bunge hilo kwa kipindi cha miaka miwili ijayo.
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AWAVISHA VYEO VYA MRAKIBU MSAIDIZI WAHITIMU 104 WA JESHI LA MAGEREZA, JIJINI DAR ES SALAAM
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AWA MWENYEKITI MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI