Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Willy Kitima ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais-nyaraka

Ikulu-tz

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais – Nyaraka (Documentation) kuanzia Alhamisi iliyopita, Desemba 11, 2014.

Kabla ya uteuzi wake, Bwana Kitima alikuwa Mratibu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa ya Biashara nchini ya Business Action Against Corruption (BAAC) Tanzania.

Taasisi hiyo inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Jumuiya ya Madola na Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Willy Kitima awa msaidizi wa Rais

RAIS Jakaya Kikwete amemteua Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais (Nyaraka) kuanzia Desemba 11 mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

togolani mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais - Hotuba

        Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu, 2014.
Taarifa iliyotolewa Jumanne, Februari 25, 2014, mjini Dar Es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa Bwana Mavura anachukua nafasi ya Bwana Msafiri Marwa ambaye amehamishimiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kupangiwa kazi nyingine.

Kabla ya uteuzi...

 

10 years ago

Michuzi

Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Dr. Margaret F. Chan amemteua Dr. Winnie  Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani, upande wa masuala ya Ukimwi, Kifua Kikuu Malaria na Magonjwa yaliyosahaulika. Uteuzi huu umetangazwa rasmi na Dr. Chan wakati wa kikao cha 68 cha Baraza Kuu la Shirika la Afya Duniani kilichoanza tarehe 14 mpaka tarehe 26 Mei 2015, Geneva, Uswisi.
Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...

 

5 years ago

Michuzi

ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA

Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani, Baba Mtakatifu Francisco amemteua Askofu Msaidizi Eusebius Nzigilwa kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki la Mpanda.

 

10 years ago

Habarileo

Mtanzania ateuliwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi WHO

Dk Winnie Mpanju-ShumbushoMKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Margaret Chan amemteua Mtanzania, Dk Winnie Mpanju- Shumbusho kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa shirika hilo.

 

10 years ago

GPL

GUY SCOTT ATEULIWA KUWA RAIS WA MPITO NCHINI ZAMBIA

Mhe. Guy Scott. KUFUATIA kifo cha Rais Michael Chilufya Sata, kilichotokea tarehe 28 Oktoba 2014, mjini London na kwa kuzingatia Katiba yake Kifungu cha 38 (1) kinachohusu mamlaka ya Rais, kwamba nafasi ya Rais ikiwa wazi kwa sababu yoyote ile, Makamu wa Rais atakaimu madaraka ya kiti cha Urais hadi uchaguzi mdogo utakapofanyika ndani ya siku tisini (90), hivyo Serikali imemteua Mhe. Guy Scott (MB), Makamu wa Rais, kukaimu...

 

10 years ago

Bongo5

Mtanzania ateuliwa kuwa makamu mkuu wa rais wa BET Networks

BET Networks, ambayo ipo chini ya kampuni ya Viacom Inc. imetangaza kumwajiri Kay Madati kama makamu mkuu wa rais (Executive Vice President) na pia kama Chief Digital Officer. Madati, raia wa Tanzania aliyeishi katika nchi nyingi Afrika, Uingereza na Marekani, ataziongoza timu za BET zinazohusika na masuala yote ya digital, mitandao ya kijamii na pia […]

 

9 years ago

Habarileo

BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani