togolani mavura ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais - Hotuba
.jpg)
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Togolani I. Mavura (pichani) kuwa Msaidizi wa Rais (Hotuba) kuanzia Februari 8, mwaka huu, 2014.
Taarifa iliyotolewa Jumanne, Februari 25, 2014, mjini Dar Es Salaam na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Y. Sefue inasema kuwa Bwana Mavura anachukua nafasi ya Bwana Msafiri Marwa ambaye amehamishimiwa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kupangiwa kazi nyingine.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Dec
Willy Kitima ateuliwa kuwa msaidizi wa Rais-nyaraka
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Willy Kitima kuwa Msaidizi wa Rais – Nyaraka (Documentation) kuanzia Alhamisi iliyopita, Desemba 11, 2014.
Kabla ya uteuzi wake, Bwana Kitima alikuwa Mratibu wa Taasisi ya Kupambana na Rushwa ya Biashara nchini ya Business Action Against Corruption (BAAC) Tanzania.
Taasisi hiyo inaendeshwa kwa ushirikiano kati ya Jumuiya ya Madola na Serikali ya Tanzania kupitia Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...
10 years ago
Michuzi
Dr. Winnie Mpanju-Shumbusho kutoka Tanzania ateuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Geneva, Uswisi

Dr. Mpanju-Shumbusho ni mtaalamu na kiongozi mwenye uzoefu wa zaidi ya...
5 years ago
Michuzi
ASKOFU MSAIDIZI EUSEBIUS NZIGILWA ATEULIWA KUWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA MPANDA


10 years ago
Habarileo27 May
Mtanzania ateuliwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi WHO
MKURUGENZI Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Dk Margaret Chan amemteua Mtanzania, Dk Winnie Mpanju- Shumbusho kuwa Mkurugenzi Mkuu Msaidizi wa shirika hilo.
11 years ago
GPL
GUY SCOTT ATEULIWA KUWA RAIS WA MPITO NCHINI ZAMBIA
11 years ago
Bongo511 Sep
Mtanzania ateuliwa kuwa makamu mkuu wa rais wa BET Networks
9 years ago
Habarileo19 Nov
BREAKING NEWS: Kassim Majaliwa ateuliwa na Rais kuwa Waziri Mkuu
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk John Pombe Magufuli ametegua kitendawili cha nani kuwa waziri mkuu kwa kumteua Mbunge wa Rwangwa Kassim Majaliwa kuchukua nafasi hiyo kubwa serikalini.
11 years ago
Michuzi
Mhe. Guy Scott ateuliwa kuwa Rais wa Mpito nchini Zambia

Tayari aliyekuwa anakaimu madaraka ya...
10 years ago
Michuzi
RAIS MUSEVENI ATEULIWA KUWA MSIMAMIZI WA KUONGOZA JUHUDI ZA UPATANISHI MGOGORO WA BURUNDI

Akizungumza wakati wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dkt. Richard Sezibera alisema kuwa Rais wa Uganda, Mhe. Yoweri Museveni apewe jukumu la...