Wimbo maalumu wa muungano by Tanzania all stars
Wimbo: TUULINDE
Watunzi: LAMECK DITTO, AMINI MWINYIMKUU
Watayarishaji: EMA THE BOY, TUDDY THOMAS
Studio: SURROUND SOUND
Wasifu wa Wimbo:
Wimbo huu maalumu wa Muungano umeimbwa na wasanii 50, kutoka katika mahadhi tofauti tofauti ya muziki kama Bongo Flava, Taarab, Dansi, Hiphop na muziki wa injili.
Hii ni mara ya kwanza katika historia ya nchi yetu, wasanii 50 tofauti kuimba wimbo kwa pamoja, na kwa ushirikiano mkubwa, wasanii hawa wanatukumbusha umuhimu wa Muungano ambao ndio...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/D6-Y6-Kh-XE/default.jpg)
wimbo maalumu wa kumkaribisha JK Stockholm, Sweden
TZK tulifurahi sana kupata nafasi ya kutengeneza wimbo wa kumkaribisha Mh Dr. Jakaya Mrisho Kikwete 2015.
Tino Mhina - ProducerZoelina Mårsen - Singer and song writer.Kennedy Mmbando - Singer and song writer/Fine artst
Tino Mhina - ProducerZoelina Mårsen - Singer and song writer.Kennedy Mmbando - Singer and song writer/Fine artst
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/OSREDToirkg/default.jpg)
10 years ago
Michuzi01 Mar
11 years ago
Mwananchi22 Jun
Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yanayodhoofisha Muungano — 2
>Makala haya ni mwendelezo wa makala yaliyoanza wiki iliyopita. Madhumuni ya makala hizi ni kupitia kamati zote za Bunge Maalumu kiuchambuzi ili kubaini mapendekezo ambayo yanadhoofisha Muungano. Aidha, uchambuzi huu utawawezesha wadau wote katika mchakato wa kuandika Katiba Mpya ya Tanzania ikiwamo wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuwa na utambuzi wa kina kuhusu Rasimu ya Katiba Mpya.
11 years ago
Mwananchi27 Jul
Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu yatakayovunja Muungano
Wapenzi wasomaji, wiki iliyopita makala hii ya uchambuzi kuhusu Mapendekezo ya Kamati za Bunge Maalumu haikutoka kutokana na sababu za kiufundi.
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-Hnc0O0Hxb4g/VlLWS7jQ51I/AAAAAAAIH7w/HMt_9a4LoNI/s72-c/IMGL0862.jpg)
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI, AKIFUNGUA RASMI BUNGE JIPYA LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, 20 NOVEMBA 2015
![](http://4.bp.blogspot.com/-Hnc0O0Hxb4g/VlLWS7jQ51I/AAAAAAAIH7w/HMt_9a4LoNI/s640/IMGL0862.jpg)
Niko hapa leo kutimiza matakwa ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ibara ya 91 Ibara ndogo ya kwanza inayonitaka kulihutubia na kulifungua rasmi Bunge hili. Naomba nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia uzima na afya njema, na kutuwezesha kuwepo hapa siku ya leo. Aidha nitumie fursa hii kuwakumbuka wenzetu ambao, kwa namna na nafasi mbalimbali, walishiriki katika mchakato wa uchaguzi huu na kwa bahati mbaya walipoteza maisha yao kabla ya mchakato haujakamilika. Kwa...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UhcQEJn1XYQ/VHn9rV-JTnI/AAAAAAAG0Qk/TtyPew4En98/s72-c/unnamed%2B(6).jpg)
HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 16 NA 17 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 29 NOVEMBA, 2014
I:UTANGULIZI a)Masuala ya jumla
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...
Mheshimiwa Spika,1. Leo tunahitimisha shughuli za Mkutano wa Kumi na Sita na Kumi na Saba wa Bunge lako Tukufu. Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mwenye wingi wa Rehema kwa kutufikisha salama siku ya leo.
Mheshimiwa Spika,2. Mkutano huu ulijumuisha kujadili kazi kubwa zifuatazo:
Kwanza: Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka 2015/2016;
Pili:Muswada wa Sheria ya Usimamizi wa Kodi wa Mwaka 2014 [The Tax Administration...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0U8UQjwDEm*xx1q07EMAHIS3E9fseS25S1BcAGAgRp3VxUnz4R13Z15cTBpvnrhyC4R-WAjIUNrcTSQl6SEH00z2xMMCqDX*/tamashadom6.jpg?width=650)
UZINDUZI WA WIMBO WA TUULINDE MUUNGANO, RAIS JK AMFAGILIA DIAMOND
Rais Jakaya Kikwete akitoa hotuba wakati wa uzinduzi wa Wimbo wa Tuulinde Muungano uliofanyika Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana ambapo pia alimfagilia msanii Diamond kwa juhudi zake. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na wasanii baada ya uzinduzi huo.…
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/8W5ARlmXvRkuWHR5kMYhDdbjvBTUCc5l6yOZaax3aVZukJgr8i0s4ZxMnNOGsI7iZwLpjX6WN0sl5JUUgYlgrhYLazS-aiPd/IMG20140614WA0010.jpg?width=650)
MAANDALIZI YA TAMASHA LA UZINDUZI WA WIMBO TUULINDE MUUNGANO DODOMA
Maandalizi ya tamasha la uzinduzi wa wimbo wa Tuulinde Muungano kwenye uwanja wa Jamhuri,Dodoma leo.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
15-February-2025 in Tanzania