WIZ: SEBA AKINIIGA TATOO, ITANIUMA!
Zilipendwa wa Mwanamitindo Amber Rose, Wiz Khalifa. New York, Marekani ZILIPENDWA wa Mwanamitindo Amber Rose, Wiz Khalifa ameeleza kuwa anampenda sana mwanaye Sebastian ila ataumia sana kama ataiga tabia zake ikiwemo ya kujichora tatoo. Wiz Khalifa akiwa na mwanaye Sebastian. Akizungumza na Jarida la People hivi karibuni, Wiz alisema kuwa, kinachomfanya ampende ni uzuri wake na jinsi anavyoonekana kuja kuwa mtu wa aina flani...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
TheCitizen20 Jan
Everything Dr Seba sets his mind to, he achieves
10 years ago
BBCSwahili22 Sep
Aachishwa kazi kwa sababu ya 'Tatoo'
10 years ago
Bongo Movies10 Dec
WOLPER: Aonyesha Tatoo Yake Mpya
Hatimaye muigizaji wa filamu, Jackline Wolper akiwa kwenye mavazi ya ki-TOM BOY, leo hii ameonyesha Tatoo yake mpya aliyopo sehemu ya juu kwenye mkono wake wa kushoto.
Hivi majuzi mitandaoni kulikuwa na picha zilizomuonyesha mwanadada huyo akiwa anachorwa tatoo na jamaa wanaofahamika kama MALAIKA TATOO.
Katika moja ya picha hizo ilyomuonyesha Wolper ameketi kwenye kiti cha kibosi ya cha kuchorewa huku amevalia mavazi ya ki-tom boy meusi na bonge la NDULA, huku jamaa mchoraji akionekana...
10 years ago
BBCSwahili20 Jan
Kwa nini mtu achorwe Tatoo machoni?
10 years ago
Bongo Movies06 Dec
KIVAZI Cha LULU Chaonyesha Tatoo Yake Ya Juu Ya Kiuno
Muigizaji Diana Elizabeth Michael kama anavyojiita kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM, maarufu kwajian la LULU ni moja kati wa mastaa wa Bongo movie wanaotumia kurasa zao kwenye mtandao wa INSTAGRAM ku-Share nasi picha zao, stori na ujumbe mambali mabali yani kwa kifupi wanazitendea haki kurasa zao..Kwa hilo tunakupongeza.
Back to the Topic
Hivi majuzi mwanadada LULU aliweka picha matata (icheki hapo juu) ambayo iliwafanya Followers wake kwenye ukurasa wake watoe comments na like za...
10 years ago
Bongo Movies21 Feb
PICHA: Uwoya aonyesha Tatoo yake ili watu waisome?
Vijimambo: Picha hii ya mrembo na mwigizaji wa filamu anaezimikiwa na mashabiki wengi, Irene Uwoya imewaacha midomo wazi mashabiki wake huku wakiwa na alamaza kujiuliza vichwani mwao.
Irene aliibandika picha hii mtandaoni bila kuandika kitu chochote kwahiyo ikawa kawa amewaachia fursa mashabiki wake watiririke.
Mbali na watu kusifia uzuri wake kwa ujumla, watu wengi walijikita kwenye tattoo yake ambayo amejichora juu ya kifua, karivu kabisa na shingo yake.
Wengi walijiongeza kuwa...
11 years ago
CloudsFM10 Jun
NUHU MZIWANDA APONDWA MTANDAONI BAADA YA KUJICHORA TATOO YENYE JINA LA SHILOLE
STAA wa Bongo Fleva,Nuhu Mzuwanda amepondwa na mashabiki wake mtandaoni baada ya kujichora tattoo yenye jina la mpenzi wake ambaye pia ni msanii mwenziye Zuwena Mohamed’Shilole’ambapo wamemuhoji kama wakiachana atachoma tattoo hiyo kwa pasi?Msanii amepost picha hiyo ya tattoo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika…Coz nampenda mke wangu nimeamua kuchora jina lake! Ila imeuma kuliko tattoo iliyopita! Siju kwa nn??...Baadhi ya mashabiki walisema kuwa…. Duuh namuonea huruma sana huyu...