Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara ya Elimu yatoa Ufafanuzi Mradi wa SEQUIP



Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Wizara ya afya yatoa ufafanuzi maswali ya Wananchi kuhusu Corona

Na WAMJW-Dar es Salaam

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu amesema amekuwa akipokea maoni, maswali na ushauri kutoka kwa wananchi wakitaka kujua jitihada mbalimbali za Serikali za kukabiliana na homa kali ya mapafu na amewaagiza wataalamu wake kuanza  kujibu maswali.

Waziri Ummy amesema  maswali, maoni na ushauri huo unatoka kwa wananchi kupitia vyombo vya habari, mitandao ya kijamii na kituo cha wizara cha kupokea simu kuhusu ugonjwa wa homa ya...

 

9 years ago

Michuzi

WIZARA YATOA UFAFANUZI WA Safari za Rais Kikwete Nje ya Nchi


Wizara imesikitishwa na taarifa za uongo zilitolewa katika vyombo vya habari kuwa Mhe. Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uongozi wake wa miaka 10 ametumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya safari za kikazi nje ya nchi, ambazo ni wastani wa bajeti nzima ya wizara kwa miaka mitano (5).Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kutoa ufafanuzi kuwa tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani mwaka 2005,...

 

9 years ago

Vijimambo

WIZARA YATOA UFAFANUZI WA SAFARI ZA RAIS KIKWETE NJE YA NCHI




Wizara imesikitishwa na taarifa za uongo zilitolewa katika vyombo vya habari kuwa Mhe. Jakaya Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika uongozi wake wa miaka 10 ametumia Shilingi trilioni 4 kwa ajili ya safari za kikazi nje ya nchi, ambazo ni wastani wa bajeti nzima ya wizara kwa miaka mitano (5).Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa inapenda kutoa ufafanuzi kuwa tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete aingie madarakani mwaka 2005,...

 

11 years ago

Michuzi

NECTA yatoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne

Na Hellen kwavava
Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) limetoa ufafanuzi wa maswali mbalimbali ya wadau wa elimu kuhusu matokeo ya mtihani wa kidato cha nne yaliyotangazwa Februari 21 mwaka huu ambayo ni viwango vya ufaulu, alama ya chini ya ufaulu na ufaulu wa jumla wa mtahiniwa.
Akitoa ufafanuzi huo kwa waandishi wa habari jijini Dar es salaam Kaimu Katibu mtendaji wa Baraza hilo Dakta CHARLES MSONDE amesema viwango vya ufaulu ni makundi ya alama yanayopangwa ili kuweka pamoja...

 

9 years ago

Michuzi

TCRA YATOA ELIMU KWA MENEJIMENTI YA WIZARA YA HABARI, VIJANA, UTAMADUNI NA MICHEZO

 Fundi Masafa kutoka Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Bw. Kenny Chitemo (aliyenyoosha mikono) akiwaonyesha Menejimenti ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo moja ya mtambo wa masafa uliwekwa katika gari la masafa wakati menejimenti hiyo ilipofanya ziara katika ofisi za TCRA Jijini Dar es Salaam. Katikati mwenye koti la blue ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bibi. Sihaba Nkinga, na Kulia ni Mkurugenzi Mkuu TCRA Dkt. Ally Yahaya Simba.Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana,...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATOA ELIMU YA MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA KWA WAANDISHI WA HABARI

Mkurugenzi Idara ya Kinga na Elimu ya Afya Zanzibar Dkt. Mohd Dahoma akifungua Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza katika Ukumbi wa Ofisi ya Malaria Mwanakwerekwe Zanzibar. Dkt. Ahlam Ali akiwasilisha mada ya maradhi ya Presha katika Semina ya Waandishi wa Habari iliyohusu magonjwa yasiyoambukiza katika Ofisi ya Malaria Zanzibar Mtangazaji wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Hassan Vuai akitoa mchango katika Semina ya Waandishi wa Habari kuhusu ongezeko la...

 

5 years ago

Michuzi

SMZA YAFAFANUA ILIVYOFANIKIWA KUKABILIANA KWA KIASI KIKUBWA NA CORONA,YATOA MAELEKEZO WIZARA YA ELIMU NA AFYA

Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imechukuwa uamuzi wa kulegeza baadhi ya mambo mambo kumi yaliyowekwa baada ya kufanikiwa kukabiliana kwa kiasi kikubwa na mripuko wa Virusi vya Coroma vilivyoleta mtafaruki katika Mataifa mbali mbali Duniani.Uamuzi huo wa SMZ Unaungana na ule uliochukuliwa na Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania wa kuviruhusu Vyuo vyote vya Elimu ya juu kuendelea na Programu zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar kuanzia Tarehe 1 Juni 2020.Akitoa Taarifa ya Serikali...

 

9 years ago

Habarileo

Ujiji yatoa ufafanuzi malipo ya walimu

HALMASHAURI ya Manispaa ya Kigoma Ujiji imesema malipo ya madai mbalimbali yaliyofanywa kwa walimu wa manispaa hiyo yalifanyiwa uhakika wa kutosha na kujiridhisha kwamba waliolipwa ndiyo wanaostahili.

 

11 years ago

Mwananchi

Uhamiaji yatoa ufafanuzi ajira zilizositishwa

>Wizara ya Mambo ya Ndani imetoa ufafanuzi kuhusu ajira zilizositishwa na kusema siyo zile zilizoandikwa na vyombo mbalimbali vya habari jana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani