Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara ya Kilimo yatakiwa kukusanya bilioni 3.1/-

Kaimu Mwenyekiti wa PAC, Ismail Aden RageKAMATI ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeiagiza Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika, kuhakikisha inakusanya Sh bilioni 3.1 zilizotumika kununulia mbolea ya Minjingu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Gairo kukusanya bilioni 17/-

HALMASHAURI ya wilaya ya Gairo inatarajia kukusanya Sh bilioni 18.6 kutoka katika vyanzo mbalimbali vikiwemo mapato ya ndani katika kipindi cha bajeti ya mwaka wa fedha 2015/16.

 

11 years ago

Mwananchi

Kilombero kukusanya 48 bilioni

Halmashauri ya Wilaya ya Kilombero inakadiria kupata jumla ya Sh48 bilioni kutoka vyanzo vyake mbalimbali vya mapato.

 

10 years ago

Habarileo

TRA yashindwa kukusanya bilioni 40/-

MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) mkoani Mwanza imeshindwa kufikia malengo yake ya kukusanya mapato Sh bilioni 40 katika kipindi cha Julai hadi Oktoba, mwaka huu kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za ukwepaji kodi.

 

10 years ago

Habarileo

Wizara ya afya yatakiwa kushirikisha sekta binafsi

Waziri Mkuu, Mizengo PindaWAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, ipanue wigo wa utoaji huduma za msingi kwa kuishirikisha zaidi sekta binafsi nchini.

 

9 years ago

Dewji Blog

AECF yapokea Bilioni 17 kuwezesha shindano la kilimo cha biashara

Mkurugenzi wa Mfuko wa Sekta Binafsi AECF, Hugh Scott akizungumza na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo wakati akizungumzia shindano litakaloshirikisha kampuni za Tanzania zinazojishughulisha na shughuli za kilimo na biashara ambalo litafanyika hapa nchini, shirika hilo linalojishughulisha na mikopo ya shughuli za kilimo na biashara hapa nchini Tanzania.

Mkuu wa Huduma za Shirika la AECF, Bw.Sam Sang’ang’a  akizungumzia kuhusu mashindao yatakavyofanyika katika...

 

11 years ago

Michuzi

Serikali ya Ubelgiji yaipa Tanzania msaada wa sh. bilioni 40 kusaidia sekta ya kilimo na maji

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwalile (kulia) akisaini mkataba wa msaada ambao serikali ya Ubelgiji imetoa Euro milioni 20 sawa na sh.bilioni 40 za Kitanzania kuisaidia Tanzania. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Maendeleo na Ushirikiano Peter Moors akimwakilisha Waziri wa Ushirikiano kwa niaba ya Serikali ya Ubelgiji hivi karibuni jijini Dar es salaam. Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwalile (kulia) kwa niaba ya serikali ya Tanzania...

 

11 years ago

Habarileo

Bajeti ya Wizara ya Kilimo yapita

PAMOJA na wabunge kuchachamalia makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika kwa kuondoa shilingi mara kadhaa, bajeti hiyo ilipita pamoja na maboresho.

 

11 years ago

Dewji Blog

Serikali ya Tanzania yasaini msaada wa zaidi ya Sh. Bilioni 134 kusaidia sekta ya kilimo na usafirishaji

01

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akisaini mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filiberto Ceriani Sebregondi.

02

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Servacius Likwelile (kulia) akibadilishana hati ya mkataba wa msaada wa sh. Bilioni 134 waliosaini kwa niaba ya Serikali ya Tanzania leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Balozi EU nchini Filiberto Ceriani Sebregondi.(Picha na Wizara ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani