Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizara yawapokea Madaktari kutoka Marekan

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Rosemary Jairo akiwakaribisha nchini Timu ya Madaktari kutoka Marekani mara baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam hivi karibuni. Madaktari hao wapo nchini kwa ajili ya kutoa huduma za matibabu kwa magonjwa mbalimbali katika Hospitali za Mwananyamala ya Jijini Dar es Salaam na Mnazi Mmoja, Zanzibar. Ziara ya Madaktari hao ambao wametoka...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Slovenia yawapokea wakimbizi kutoka Croatia

Mamia ya wahamiaji wameingia nchini Slovenia wakitokea Croatia, licha ya Hungary kufunga mpaka wake kwao

 

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

10 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI ZANZIBAR WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI WA WIZARA YA AFYA

 Mwenyekiti wa Shirika la World Doctors kutoka Itali Bi. Tanya Niestedt (kulia) akizungumza na Waganga wa Tiba asili hawapo pichani katika semina ya siku moja ya yakuwataka waganga hao washirikiane na Madaktari katika kutibu magonjwa ya Kisukari na Presha, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyo ambukiza Zanzibar Dkt. Omar Mwalim, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.  Mkuu wa kliniki ya Kisukari Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Faiza Kassim...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaomba madaktari zaidi kutoka China

Jakaya-Kikwete1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete.

-Imekuwa inapokea madaktari kutoka China kwa miaka 46

-Yashukuru kwa kujengewa Hospitali ya magonjwa ya moyo Muhimbili

Tanzania imeiomba Jamhuri ya Watu wa China kuongeza idadi ya madaktari wake inaowatuma Tanzania kama msaada kutoa huduma ya tiba kama njia ya kuzidi kusaidia kukabiliana na upungufu wa madaktari nchini.

Aidha, Tanzania imeishukuru China kwa kujenga hospitali kubwa inayoweza kulaza wagonjwa 100 kwa...

 

10 years ago

Michuzi

Dk. Shein aufungua Mkutano wa Madaktari kutoka Uingereza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza mkutano huo uliowashirikisha Madakatari Kutoka nchini Tanzania katika ukumbi wa Hoteli ya Breezes Hotel Bwejuu Wilaya ya Kusini Mkoa wa Kusini Unguja jana Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali...

 

5 years ago

Michuzi

MADAKTARI WARIDHISHWA NA MAFUNZO WALIYOPATA KUTOKA WCF

Na mwandishi wetu, ArushaMADAKTARI waliokuwa wakishiriki mafunzo ya siku tano ya uelimishaji wa tathmini za ulemavu utokanao na ajali na magonjwa yatokanayo na kazi kutoka mikoa ya Kanda ya Kaskazini, wamefurahishwa na elimu waliyoipata na kwamba itasaidia kutenda haki kwa pande zote mbili, wanufaika na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF).
Mafunzo hayo yaliyoanza Juni 22, 2020 kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa (AICC) jijini Arusha yaliandaliwa na Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF)...

 

9 years ago

Vijimambo

TAARIFA KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA KUHUSU MAHUJAJI KUTOKA TANZANIA WALIOFARIKI NA KUJERUHIWA HUKO SAUDI ARABIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA KIMATAIFA
Simu: 255-22-2114615, 211906-12

Barua pepe: nje@nje.go.tz

Barua pepe: gcu@nje.go.tz

Tovuti : www.foreign.go.tz

Nukushi: 255-22-2116600

              

 


                20 KIVUKONI FRONT,

                           P.O. BOX 9000,

                  11466 DAR ES SALAAM, 

                                    Tanzania.


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI  Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa imepokea kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani