Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WIZKID, YEMI WASHINDWA TUZO ZA BET NA ‘STONEBWOY’

Mwanamuziki maarufu wa Nigeria, Wizkid. Lagos Nigeria WANAMUZIKI maarufu wa Nigeria, Wizkid na Yemi Alade, walishindwa kunyakua tuzo za Watumbuizaji Bora za Kimataifa baada ya mwanamuziki wa Ghana, Livingstone Etse Satekla a.k.a Stonebwoy kuwapiga kikumbo. Yemi Alade. Washindani wengine katika kundi hilo walikuwa ni Sarkodie (wa Ghana), Fally Ipupa (Congo), The Sauti Sol na AKA wote a Afrika… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

YEMI AELEZA SABABU YA KUWASHAMBULIA WAANDAJI WA TUZO ZA BET

Mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade. Lagos Nigeria BAADA ya mwimbaji maarufu wa Nigeria, Yemi Alade, maarufu kama  Jonny Crooner kutokana na wimbo wake, kushindwa katika mpambano wa Tuzo za BET nchini Marekani, amewashambulia waandaji wa mashindano hayo kwamba hawakuwafanyia haki waimbaji kutoka Afrika. “Kusema ukweli Waafrika hatutendewi haki kama wenzetu kutoka mabara mengine,” alisema mwimbaji huyo mrembo...

 

11 years ago

GPL

TUZO ZA BET 2014: DAVIDO ATWAA TUZO YA BEST AFRICAN ACT

Davido akiwa na tuzo yake. Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo). Baada ya kutwaa tuzo hiyo, Davido aliandika hivi katika akaunti yake ya Instagram:… ...

 

9 years ago

Bongo5

Diamond, Wizkid, Sarkodie, Mafikizolo, Yemi Alade na wengine warekodi wimbo wa ‘United Nations Global Goals campaign’

Diamond Platnumz amepata nafasi nyingine ya kushirikiana na mastaa mbalimbali wa Afrika akiwemo Wizkid wa Nigeria, kurekodi wimbo wa kampeni ya Umoja wa mataifa, ‘United Nations Global Goals campaign’. Hit maker huyo wa ‘Nana’ na Wizkid wameungana na wanamuziki wengine wakubwa wa Afrika kama Yemi Alade (Nigeria), rapper Sarkodie (Ghana), kundi la Mafikizolo (South Africa), […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Tuzo za BET 2015

Sam Smith ameshinda tuzo la msani bora mpya katika tamasha la mwaka huu la tuzo za BET mjini Los Angeles.

 

11 years ago

GPL

RED CARPET YA TUZO ZA BET 2014

NeYo akipozi kwenye Red Carpet. Claudia Jordan.…

 

9 years ago

Bongo5

Wizkid ataja sababu zinazomfanya asishobokee tuzo

Ukijaribu kumfatilia Wizkid utagundua kuwa ni msanii mkubwa wa Afrika ambaye amekuwa akitajwa kuwania tuzo mbalimbali, lakini huwa hajishughulishi kabisa kufanya kampeni ya kuhamasisha mashabiki wake kupiga kura kama wafanyavyo wasanii wengine na matokeo yake tuzo nyingi huwa hashindi. Staa huyo wa Nigeria ambaye anatarajia kuja Tanzania mwisho wa mwezi huu amemjibu shabiki wa Tanzania […]

 

10 years ago

GPL

HAWA NDIYO WASHINDI WA TUZO ZA BET 2015

Diddy na Lil Kim wakifanya makamuzi katika utoaji tuzo za BET 2015. Janet Jackson akiwa na tuzo yake. Rihanna katika…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani