Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Woiso waomba ushirikiano serikalini

SERIKALI imetakiwa kutoa ushirikiano katika mashirika yasiyo ya kiserikali yanayojishughulisha na utoaji wa elimu ya magonjwa ya ngono, utoaji mimba na mahusiano shuleni ili kupunguza matatizo hayo katika jamii. Wito...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Maofisa serikalini, wadau watakiwa kutoa ushirikiano

Dr-Florence-TurukaNa Adam Mkwepu, Dar es Salaam
JAMII, maofisa wa Serikali na wadau wengine wametakiwa kutoa ushirikiano unaotakiwa kwa kundi jipya la raia wa Marekani walioanza kujitolea hapa nchini.

Hayo yalisemwa hivi karibuni na Katibu Mkuu, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Florens Turuka, ambapo alisema kuwa raia hao wa Marekani wanaojitolea wanahitaji kupewa moyo pamoja na msaada wa kiufundi watakaohitaji.
Alisema raia hao “wanatakiwa kusaidiwa kujifunza na kuzoea mila na kujifunza Kiswahili.”

Akizungumzia...

 

11 years ago

Michuzi

MILLEN MAGESE AOMBA USHIRIKIANO SERIKALINI NA WANANCHI KWA UJUMLA


 MWANAMITINDO wa kimataifa wa hapa nchini na Miss Tanzania 2001 anaefanya kazi yake hiyo nchini Marekani Millen Magese ameiomba serikali kumpatia eneo ambalo atalitumia kujenga hospitali maalum ya kushugulikia afya ya wanawake.
Millen alitoa ombi hilo jana wakati akizungumza na watu mbalimbali waliohudhuria semina ya bure kuhusiana na hali ya Endometriosis inayowakabili wanawake wengi hapa nchini na Afrika kwa ujumla. Millen anakabiliwa na tatizo hilo la Endometriosis ambalo ni hali ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Sumatra Kilimanjaro waomba ushirikiano

MAMLAKA ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra), Mkoa wa Kilimanjaro, imewaomba wananchi kutoa taarifa kwa askari wa usalama barabarani pale wanapopanda daladala ambazo madereva wake hawazingatii sheria zilizowekwa ikiwamo...

 

10 years ago

Mtanzania

Polisi waomba ushirikiano kukabili mauaji ya albino

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu

Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu

Na Waandishi Wetu, Dar es Salaam

MKURUGENZI wa Makosa ya Jinai (DCI), Isaya Mngulu, amesema  vitendo vya mauaji ya  albino vimeanza kushamiri tena katika baadhi ya maeneo   nchini.

Amesema  kutokana na hali hiyo, jeshi la polisi limewaomba wananchi, asasi za raia, viongozi wa dini na wanasiasa kushirikiana nao  waweze kukamata mtandao wa watu wanaojihusisha na shughuli hizo na kuwachukulia hatua.

Alisema kuwa vitendo hivyo vinahusishwa moja...

 

10 years ago

Michuzi

WATU WENYE UZIWI WAOMBA USHIRIKIANO KWA JAMII

 Mtafiti wa Lugha za alama Profesa Henry Muzare akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika ukumbi wa habari MAELEZO,kuhusiana na umuhimu wa lugha za alama kwa viziwi na jamii,(kulia) Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA)Dicksom Mveyange.Mkalimani wa Lugha za alama Octaviani Simba akimtafsiria lugha za alama  Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Viziwi Tanzania (CHAVITA),Dicksom Mveyange,leo katika ukumbi wa habari MAELEZO jijini Dar es Salaam.
(Picha...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mmiliki wa kiwanda cha viatu (WOISO) aelezea mafanikio yake kupitia shuguli ya ushonaji viatu

001

Mmiliki wa Kiwanda cha Viatu WOISO kilichopo Tegeta jijini Dar es Salaam ,Bw Kenneth Herman (kulia) akizungumza na waandishi wa habari wakati akielezea mafanikio yake alioyapata kupitia shuguli za kushona viatu na kuweza kumiliki Kiwanda cha Viatu  na kuwaajili watu zaidi ya 2,50. Kwenye kiwanda hicho (kushoto), Msimazi wa Kiwanda hicho Bi.Teya Herman.(PICHA NA PHILEMON SOLOMON).

002

Wafanyakazi wa kiwanda cha WOISO wakiwa kazini.

003

Eliza  Hamad, akiwa na mfanyakazi mwezie Bw.Hilari Kimario...

 

10 years ago

Michuzi

TANZANIA YAWASILISHA RIPOTI YA KAMATI YA WATALAAM WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA KATIKA MKUTANO WA MAWAZIRI WA FEDHA, UCHUMI, MIPANGO NA USHIRIKIANO WA KIKANDA WA NCHI WANACHAMA WA AU NA EAC, JIJINI ADDIS ABABA NCHINI ETHIO

Mwenyekiti wa Kamati ya Watalaam wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa AU na EAC Dkt. Hamisi Mwinyimvua ambaye ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha akiwasilisha ripoti ya kamati hiyo kwenye Mkutano wa Mawaziri wa Fedha,Uchumi,Mipango na Ushirikiano wa Kikanda unaoendelea Mjini AddisAbaba –Ethiopia. Mwenyekiti wa Mkutano wa Mawaziri wa Fedha, Uchumi, Mipango na Ushirikiano wa Kikanda kwa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika (AU) na kamisheni...

 

11 years ago

BBCSwahili

Mjadala wa Utendakazi Serikalini

Mada: Je, serikali inawahudumia wananchi ipasavyo?

 

9 years ago

Habarileo

Mishahara serikalini kuwiana

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angella Kairuki ameitaka Idara ya Uchambuzi na Ushauri wa Kazi – Utumishi, kuwianisha mishahara ya watumishi wa wakala za Serikali, ili kusiwe na tofauti kubwa kati ya watumishi wa juu na wa chini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani