Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WOLPER: NATAKA SERIKALI MBILI

MWIGIZAJI staa Bongo, Jacqueline Wolper ameifungukia rasimu ya katiba mpya ambayo ipo bungeni kujadiliwa kwa sasa akisema yeye matakwa yake ni kuwepo kwa serikali mbili na si tatu wala ya mkataba.
Akipiga stori na safu hii juzi jijini Dar, Wolper alisema anaamini serikali ya tatu itakuwa mzigo kwa wananchi ambao ndiyo walipa kodi. Muigizaji staa Bongo, Jacqueline Wolper “Serikali mbili ndiyo mpango mzima, ya tatu ni...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Shibuda -Nataka serikali mbili

MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, John Shibuda amesema msimamo wake ni kuwapo kwa Serikali mbili, huku akisisitiza kuwa ilipaswa wajumbe wa bunge hilo wapewe elimu ya ufahamu ya kazi yao.

 

10 years ago

GPL

MANAIKI: NATAKA KUPELEKA POSA KWA WOLPER

Stori:  Imelda Mtema
MSANII wa sinema za Kibongo, Manaiki Sanga ametangaza nia ya kutaka kwenda kupeleka posa kwa staa wa sinema, Jacqueline Wolper, kwa madai kuwa anampenda sana.Akizungumza  na mwandishi wetu, Manaiki alisema hapa Bongo wanaume wengi hawajui wanawake wazuri lakini kwa upande wake ameona uzuri wa Wolper ni pambo la moyo wake, atapeleka barua nyumbani kwao. Msanii wa sinema za Kibongo, Manaiki Sanga...

 

11 years ago

Mwananchi

Kamati mbili zakamilisha kujadili #rasimu, zote zapendekeza serikali mbili[VIDEO]

 KAMATI mbili kati ya 12 za Bunge Maalum la Katiba zimehitimisha kazi yake katika kujadili sura mbili za rasimu huku zote zikipendekeza muundo wa serikali mbili za Muungano katika Sura ya Kwanza na ile ya Sita badala ya Shirikisho.

 

11 years ago

Habarileo

Theluthi mbili kuelekea serikali mbili si tatizo

Makamu Mwenyekiti wa Kamati Namba 9 ya Bunge Maalumu la Katiba, William NgelejaWAJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba kama wataacha ushabiki wa vyama na kujikita zaidi kwenye hoja, uwezekano wa kupatikana kwa theluthi mbili kuelekea katika mfumo wa serikali mbili upo.

 

9 years ago

Mwananchi

Askofu: Nataka serikali inayokubali makosa

Joto la uchaguzi limezidi kupanda, huku wanasiasa wakongwe na wastaafu katika utumishi wakiendelea kumimina baraka zao kwa wagombea mbalimbali.

 

11 years ago

Mwananchi

CCM watofautiana Serikali mbili

Baadhi ya wabunge wa CCM ambao ni wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba, wamepinga msimamo wa chama hicho unaowataka kutetea muundo wa Serikali mbili katika mijadala ya Bunge hilo.

 

11 years ago

Mwananchi

Pinda: Serikali mbili lazima

Wakati mjadala mkali ndani ya Bunge Maalumu la Katiba ukitarajiwa kuwa muundo wa Muungano, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amesisitiza Serikali mbili.

 

10 years ago

Mwananchi

Dk Shein:Serikali mbili muafaka

>Makamu mwenyekiti wa CCM na Rais wa Zanzibar, DK Ali Mohamed Shein amesema Muungano wa Tanganyika na Zanzibar hauwezi kuvunjwa kwa maneno na  kuongeza kuwa mfumo wa Muungano wa serikali mbili ndiyo mwafaka katika kuimarisha ulinzi na usalama wa Taifa.

 

11 years ago

Mwananchi

Zambi: Serikali mbili ni maagizo ya JK

>Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mbeya, Godfrey Zambi amefichua sababu za chama hicho kushikilia msimamo wa muundo wa serikali mbili katika mjadala wa Katiba Mpya, akisema ni “maagizo ya mwenyekiti wa CCM”.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani