Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


YANGA DAIMA YAENDELEA NA USHINDI WA KUSUA SUA TAIFA

Wachezaji wa timu ya Yanga, wakicheza kwa pamoja kumpongeza mwenzao Haruna Niyinzima baada ya kuifungia timu yake bao la pili katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania bara uliochezwa leo jioniu kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam dhidi ya JKT Ruvu. Katika mchezo huo Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 2-1, ambayo yalifungwa na Kelvin Yondani katika dakika ya 35 na Haruna Niyonzima kaika dakika ya 68, huku bao la JKT Ruvu likifungwa na Jabir Aziz katika dakika ya 90. Mohamed Faki wa JKT...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Tiketi yako ya kwanza daima ni ushindi ukiwa na Meridianbet!

Meridianbet wameanzisha Promosheni ya TIKETI YA KWANZA JUU YETU ambayo tiketi yako ya kwanza daima haiwezi kupoteza, kwa sababu kama haijashinda –Watakurudishia hadi Tsh 12,500 ya pesa uliyolipia tiketi yako katika akaunti ya bonasi ya kubetia. 
Kwa kweli, timu ya Meridianbet imefanya ofa hii kuwa rahisi sana ili daima isiwe vigumu sana kupata USHINDI wako wa kwanza.
Ofa hii haina hasara kabisa, ni kwa wateja wote wapya WANAOJISAJILI na kufungua akaunti ya kubashiri na Meridianbet.co.tz. Ili...

 

9 years ago

Vijimambo

YANGA YAANZA KUKAA KILELENI BAADA YA USHINDI WA 2 BILA MAJIBU UWANJA WA TAIFA LEO



Donald Ngoma akishangilia goli lake kwa kumkumbatia kocha mkuu wa timu ya Yanga Hans van der Pluijm
Simon Msuva akishangilia baada ya kufunga goli lka kwanza wakti Yanga ikicheza dhidi ya Coasta Union kwenye uwanja wa Taifa
Mabingwa watete wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara timu ya Yanga SC leo imefanikiwa kuanza vyema kuutetea ubingwa wake kwa kuibuka na ushindi wa oli 2-0 mbele ya Coastal Union ya jijini Tanga kwenye mchezo pekee wa ligi uliopigwa leo jioni kunako dimba la Taifa.
Goli la...

 

11 years ago

Michuzi

Ndovu Special Malt yaendelea kutangaza ushindi wake jijini Arusha

Meneja wa Bia ya Ndovu Special Malt, Pamela Kikuli akizungumza na wadau wa bia hiyo wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa kimataifa(Ndovu High Quality Trophy) kutoka kwenye Taasisi ya Kimataifa ya Monde Selection nchini Ufaransa hivi karibuni.Hafla ilifanyika jijini Arusha mwishoni mwa wiki. Warembo wa bia ya Ndovu Special Malt wakiwa katika picha ya pamoja na kikombe wakati wa hafla ya kupongezana baada ya bia hiyo kutwaa tuzo ya ubora wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Uandikishaji serikali za mitaa waanza kwa kusua

JANA ikiwa ni siku ya kwanza ya uandikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Desemba 14 mwaka huu, Tanzania Daima imebaini mwitikio wa wananchi...

 

9 years ago

Habarileo

Taifa Stars yaundiwa kamati ya ushindi

KATIKA kuhakikisha timu ya soka ya Tanzania inafanya vizuri katika kuwania kufuzu kwa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2017 na fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018 nchini Urusi, kamati maalumu ya ushindi imeundwa kuisaidia timu hiyo.

 

10 years ago

Vijimambo

TIMU YA TANZANIA "TAIFA STARS" YAENDELEA KUJIFUA

 Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' wakiwa katika mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imeendelea na mazoezi katika uwanja wa Olympia Park kujiandaa na mchezo wa fungua dimba dhidi ya timu ya Taifa ya Swaziland.
Kocha mkuu wa timu ya Taifa Stars Mart Nooij amesema vijana wake wanaendelea vizuri na mazoezi, ikiwa leo ni siku ya pili kufanya mazoezi baada ya ...

 

10 years ago

GPL

YANGA YAENDELEA KUJIANDAA NA KAGAME

Kocha Hans Van der Pluijm, akielekeza kwa vitendo jinsi ya kufanya mazoezi. Daktari wa Yanga, Juma Sufiani, akimtibu kipa wa timu hiyo, Ally Mustapha ‘Barthez’, kufuatia mazoezi makali. Sehemu ya mashabiki waliofika kujionea mazoezi hayo.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani