Yanga: Hatuna hofu na Azam
MABINGWA watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga wamesema hawawahofii wapinzani wao wakubwa Azam FC kwenye Kombe la Mapinduzi isipokuwa huwaheshimu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Raia Tanzania13 Jul
Hofu ya Kagame; Yanga yaingia mafichoni
CLARA ALPHONCE Dar
MABINGWA wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga leo wanatarajia kuingia kambi ya maficho kujiandaa na mechi ya ufunguzi ya Michuano ya Kagame inayotarajia kuanza rasmi Jumamosi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam dhidi ya Gor Mahia ya Kenya.
Yanga ambao walianza mazoezi yake rasmi mwezi uliopita nane kujiandaa na michuano hiyo, ilikuwa inafanya mazoezi huku wachezaji wakitokea nyumbani.
Mpaka sasa Yanga imecheza michezo minne ya kirafiki kujiandaa na...
11 years ago
Mwananchi15 Dec
Manji azua hofu kwa wachezaji Yanga
9 years ago
Habarileo03 Nov
Ni Yanga na Azam
MBIO za kukalia kiti cha uongozi wa Ligi Kuu Tanzania Bara, sasa zimebaki kuwa za timu mbili za Yanga na Azam FC, ambao wamekuwa wakibadilishana katika nafasi ya kwanza na pili.
10 years ago
Raia Mwema29 Jul
Yanga, Azam FC kitaeleweka
MICHUANO ya soka Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame inayoendelea jijini Dar
Abdul Mkeyenge
9 years ago
Habarileo22 Aug
Yanga, Azam usihadithiwe
AZAM FC ina kibarua kigumu cha kufuta uteja kwa Yanga katika mechi za Ngao ya Jamii wakati zitakapomenyana leo katika mechi ya kufungua msimu wa 2015-16 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
10 years ago
Mwananchi27 Jul
Kumekucha Yanga, Azam
10 years ago
TheCitizen29 Jul
Azam stand in Yanga’s way
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/udqKvOQQNZzoefi8APyM5Pvhz8EeqHprCm3F7PrKgz9BNqO3j6RPZei4abn3TeTSNp8GgGcKkZvy7-StP6Mf-pg-v1925RKh/yanga.gif?width=650)
Yanga yaivurugia Azam