YANGA KUCHAPISHA NAKALA 50,000 ZA JARIDA LAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-9twtVIXZmCA/XqbYIIhdTrI/AAAAAAALoVw/jI1GUoV-nMUVRHBEbGqjiggwDY9oRCdkgCLcBGAsYHQ/s72-c/Yanga.jpg)
Na Zainab Nyamka, Globu ya JamiiKLABU ya Yanga inatarajia kuchapisha nakala elfu hamsini (50,000) za jarida litakalozinduliwa alhamisi ya wiki hii.
Hayo yamesemwa na Afisa Habari wa Yanga, Hassan Bumbuli wakati wa mahojiane yake na Kituo cha Redio cha EFM leo Jijini Dar es Salaam.
Bumbuli amesema wainatarajia kuzindua jarida hilo siku ya Alhamisi hii na litasambazwa nchi nzima.
Amesema, tayari wapo kwenye za mwisho na wanatarajia kuchapa nakala 50,000 za jarida hilo na litakuwa na makala na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo04 Apr
Nakala 440,000 za Katiba zasambazwa
JUMLA ya nakala 443,050 za Katiba Inayopendekezwa, zimesambazwa katika taasisi 70 za serikali.
10 years ago
Bongo Movies09 Jun
‘Nimekubali Kuolewa’ ya Dr Cheni Yauza Nakala 20,000 Ndani ya Wiki 1
Staa wa Bongo Movies, Mahsein Awadh ‘Dr Cheni’ amesema filamu yake ‘Nimekubali Kuolewa’ ndio filamu yake iliyofanya vizuri kuliko filamu zake zote ambapo tayari imeshauza nakala elfu 20,000 ndani ya wiki moja tangu iingie sokoni.
Dr Cheni ameiambia Bongo5 kuwa mpaka sasa hajui ni maajabu gani yametokea mpaka filamu hiyo kupendwa kiasi hicho.
“Kwa kawaida ndani ya wiki moja huwaga tunauza nakala elfu 5,000. Lakini kwenye filamu ‘Nimekubali Kuolewa’ imenifungulia njia,” amesema.
“Toka...
5 years ago
AnandTech26 Mar
Folding@Home Reaches Exascale: 1,500,000,000,000,000,000 Operations Per Second for COVID-19
9 years ago
Habarileo24 Sep
Yanga, Simba 7,000/-
SHIRIKISHO la Soka Tanzania, (TFF) limetangaza viingilio vya mchezo wa watani wa jadi katika Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania utakaochezwa Jumamosi katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam ambapo kiingilio cha chini kitakuwa ni Sh 7,000.
9 years ago
Habarileo16 Oct
Kuziona Yanga, Azam Sh 5,000
KIINGILIO cha chini katika pambano linalosubiriwa kwa hamu la Ligi Kuu Tanzania Bara kati ya Yanga na Azam kesho kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam, kimepangwa kuwa Sh 5,000.
10 years ago
GPLKIINGILIO MECHI YA YANGA, SIMBA 7,000/-
9 years ago
Michuzi15 Oct
KUZIONA YANGA, AZAM FC KIINGILI 5,000/=
![](http://tff.or.tz/images/vpl6.png)
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-fOfEOdbhBuQ/VnYaEDF-5mI/AAAAAAAAL6c/fq07Qm6KtGE/s72-c/FullSizeRender%2B%25287%2529.jpg)
Namna ya Kuchapisha Vitabu Mtandaoni
![](http://4.bp.blogspot.com/-fOfEOdbhBuQ/VnYaEDF-5mI/AAAAAAAAL6c/fq07Qm6KtGE/s200/FullSizeRender%2B%25287%2529.jpg)
Kutokana na taarifa ninazoandika katika blogu hii, na sehemu zingine, watu wengi wanafahamu kuwa nimechapisha vitabu vyangu mtandaoni. Nimeshawasaidia waandishi kadhaa wa mataifa mbali mbali kuchapisha vitabu vyao kwa mtindo huo. Kwa upande wa Tanzania, niliwahi kuongea na wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuhusu suala hilo, na nilinukuliwa katika gazeti la Mwananchi.
Mara kwa mara, watu huniulizia kuhusu kuchapisha vitabu vyao. Napenda kuongelea tena suala hili,...