YANGA, SIMBA JUMAMOSI
![](http://api.ning.com:80/files/bquVoc42xDNVeYlBPlvHdu6Q4dJ6todoJr*BPnjybI9OEz9697mzzDmnKOMZs1rshMoPaTGJic6J5rAWdIz1kOYSy6M64pRw/SIMBAFC.jpg?width=650)
Simba SC Mechi ya "Nani Mtani Jembe" kati ya Yanga SC na timu ya Simba SC itafanyika siku ya Jumamosi katika dimba la Uwanja wa Taifa huku maandalizi yote yakiwa yamekamilika na Shirikisho la Mpira Miguu nchini  Tanzania (TFF) likitangaza Viingilio vya mchezo huo bei ya juu ni Tshs 40,000/=. Yanga SC. Akiongea na waandishi wa habari makao makuu ya shirikisho Kaimu Katibu Mkuu wa TFF Bw. Boniface Wambura amesema wao...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/LXCUWCrbopw/default.jpg)
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Hiki ndicho Walichohaidiana JB na Ray Kigosi leo kabla ya mechi ya Simba na Yanga. JB ni SIMBA, Ray ni YANGA.
Huku tukisubiria kwa hamu sana ile mechi ya NANI MTANI JEMBE kati ya YANGA na SIMBA, Jacob Steven – JB mshabiki namba moya wa SIMBA SPORTS CLUB na VICENT KIGOSI – Ray, shabiki namba moja wa YANGA wamekubaliana haya yafuatayo.
Endapo timu moja SIMBA itafungwa, basi JB atavaa jezi ya YANGA na kumpa RAY pesa za kitanzania TSHS. MILLIONI MOJA (1) CASH na ikiwa YANGA itafungwa, basi RAY atavaa jezi ya SIMBA na kumpa JB pesa hiyo hiyo MILLIONI MOJA (1) CASH.
Unahisi nani ataibuka kidedea...
10 years ago
Vijimambo09 Mar
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-loze6uz99L4/VPx_cFdgBFI/AAAAAAADbqU/jECI3XpZ2pY/s72-c/MMGL0169.jpg)
AUNGURUMAPO SIMBA MCHEZA NANI DAKIKA 90 SIMBA 1 YANGA 0
![](http://1.bp.blogspot.com/-loze6uz99L4/VPx_cFdgBFI/AAAAAAADbqU/jECI3XpZ2pY/s1600/MMGL0169.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-lcG7nGUTfKs/VPx_b-JPmrI/AAAAAAADbqQ/vw34R5bUalk/s1600/MMGL0172.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-iOw-SP5Bt_Q/VPx_b4Yq6JI/AAAAAAADbqM/eqP8Gz6fDkk/s1600/MMGL0229.jpg)
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-4oCOCI625Y0/Vga5yEO7rII/AAAAAAAD9kA/3Dd163fP7rk/s72-c/Simba-vs-Yanga-pic.png)
YANGA NI ZAIDI YA MCHARO WAWALIZA SIMBA KWEUPEEE GOLI 2 BILA MAJIBU UTEJA KWA SIMBA KWISHINEIIIIIII!!
![](http://4.bp.blogspot.com/-4oCOCI625Y0/Vga5yEO7rII/AAAAAAAD9kA/3Dd163fP7rk/s640/Simba-vs-Yanga-pic.png)
11 years ago
Mwananchi25 Jun
KAMPENI SIMBA: Wagombea Simba waijadili Yanga
11 years ago
Tanzania Daima29 Jan
Simba kuwakosa wawili Jumamosi
WEKUNDU wa Msimbazi Simba, wanaotarajiwa kuwavaa maafande wa JKT Oljoro kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, huenda wakawakosa nyota wao wawili; Joseph Owino na Nassor Masoud ‘Cholo’. Akizungumza...