Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yaichakaza Komorozeni 7-0

Mshambuliaji Mrisho Ngassa amefunga mabao matatu na kuiongoza Yanga kuichakaza Komorozeni 7-0 jana kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Yanga yaichakaza Platinum

Yanga imepiga hatua moja kuifuata Etoile Sahel ya Tunisia baada ya kuichakaza Platinum ya Zimbabwe kwa mabao 5-1 na kujiweka katika mazingira mazuri ya kusonga mbele kwa hatua ya pili ya mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

 

10 years ago

Mwananchi

Simba SC yaichakaza Polisi Moro

>Simba imepaa hadi nafasi ya nne katika msimamo wa Ligi Kuu baada ya kuichapa Polisi Morogoro kwa mabao 2-0 jana kwenye Uwanja wa Jamhuri, Morogoro.

 

10 years ago

Michuzi

SIMBA YAICHAKAZA KMKM 5-0 ZANZIBAR

 SIMBA SC imewafunga mabingwa wa Zanzibar, KMKM mabao 5-0 katika mchezo wa kirafiki kujiandaa na Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Amaan, Zanzibar.KMKM inayofundishwa na Ally Bushiri ‘Bush’ ambayo Jumatano wiki hii ilifungwa 2-0 na Yanga SC, leo iligeuzwa asusa na Wekundu wa Msimbazi.
Simba SC ilikwenda kupumzika ikiwa inaongoza mabao 4-0, yaliyotiwa kimiani na Amisi Tambwe mawili, Amri Kiemba na Shaaban Kisiga ‘Malone’ moja kila mmoja.

Amri Kiemba ndiye aliyefungua karamu...

 

10 years ago

Mwananchi

Man United yaichakaza Liver

Manchester, England. Manchester United imeendeleza wimbi lake la ushindi baada ya jana kuifumua Liverpool kwa mabao 3-0, katika mchezo wa Ligi Kuu England.

 

11 years ago

Mwananchi

Man City yaichakaza Arsenal

England. Manchester City imepunguza kasi ya Arsenal katika kuwania ubingwa wa Ligi Kuu ya soka England baada ya kuichapa mabao 6-3.

 

10 years ago

Mwananchi

Azam yaichakaza Mtibwa Sugar

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu, Azam wamelizamisha jahazi la Mtibwa Sugar kwa kuichapa mabao 5-2 jana kwenye Uwanja wa Azam Complex, Chamazi.

 

9 years ago

StarTV

U-17 Mali yaichakaza Honduras, Coratia yapeta.

Michuano ya kombe la dunia chini ya umri wa miaka 17 hatua ya makundi inayoendelea nchini Chile timu ya Mali imetinga hatua ya 16 na kuongoza kundi D baada ya kuitandika timu ya Korea kaskazini kwa mabao 3-0.

Kipigo hicho kimeipa mkono wa kwaheri wa kutupwa nje ya michuano hiyo, huku Amodou Haidara akiifungia Mali bao la kuongoza , kabla ya nahodha Abdou Dante akiongeza la pili , na kisha Aly Male akiihakikishia ushindi kwa kupachika bao la tatu sasa timu hiyo itakipiga na Coratia...

 

11 years ago

Mwananchi

BRAZIL 2014: Ufaransa yaichakaza Jamaica

Matuidi na Benzema walifunga tena katika kipindi cha pili, wakati Giroud na Antoine Griezmann wakiongeza ushindi huo kufikia mabao manane.

 

11 years ago

Mwananchi

Juventus yaichakaza AC Milan, PSG yapaa kileleni

Juventus sasa inakaribia kutwaa taji la tatu la Ligi ya Italia baada ya kuichapa AC Milan mabao 2-0 na kuongoza kwa tofauti ya pointi 11.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani