YANGA YAONDOLEWA KWA MATUTA
Timu ya Yanga SC imeondolewa kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kufungwa na Al Ahly kwa penalti 4-3 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria, Misri! Mpaka dakika ya 90 ya mchezo, matokeo ya jumla yalikuwa 1-1 hivyo kuamriwa kupigwa mikwaju ya penalti ambapo Yanga walipata 3, wakati Al Ahly wakipata 4. Wachezaji wa Yanga waliofunga penalti ni Didier Kavumbagu, Emmanuel Okwi na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMANCHESTER UNITED YAONDOLEWA CAPITAL ONE CUP KWA MATUTA
11 years ago
GPLBRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA
10 years ago
GPLWANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI
10 years ago
Michuzi22 Jan
KAGERA WATUPWA NJE YA MASHINDANO YA WANAWAKE TAIFA CUP KWA MATUTA 4-3 NA TIMU YA MWANZA
Na Faustine Ruta, MwanzaTimu ya Wanawake kutoka Mkoa wa Kagera imetupwa nje ya Mashindano kwa Matuta baada ya kumaliza mtanange wao kwa sare ya Nyumbani ya Ushindi wa 2-1 na Ugenini,CCM Kirumba Mwanza na Matuta kupigwa na Timu ya Mwanza kuibuka na Ushindi wa bao 4-3.
Mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Timu ya Mwanza ndio walianza kupata bao mapema dakika ya 2 kupitia kwa mchezaji wao matata Meriam Kimbuya (10) kwa kukatiza katikati ya mabeki na kufunga bao hilo la kwanza....
11 years ago
Habarileo11 Jul
Magufuli agoma matuta
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesisitiza Serikali haitaweka matuta ya vizuizi vya kupunguza ajali katika barabara zote zilizoko nchini.
11 years ago
Habarileo23 Jul
‘Ni ruksa kujenga matuta barabarani’
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza matuta yajengwe barabarani katika maeneo wanakoishi watu kuokoa maisha ya watu kwa kuwa madereva ni wakaidi.
11 years ago
GPLMATUTA YAIONDOA GLOBAL MASHINDANO YA NSSF 2014
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Matuta yatawala robo fainali Sekondari Dar
MASHINDANO maalumu yanayozikutanisha shule 12 za sekondari za jijini Dar es Salaam yameingia nusu fainali kwa staili ya aina yake baada ya timu zote zilizotinga hatua hiyo kushinda kwa changamoto...