‘Ni ruksa kujenga matuta barabarani’
RAIS Jakaya Kikwete ameagiza matuta yajengwe barabarani katika maeneo wanakoishi watu kuokoa maisha ya watu kwa kuwa madereva ni wakaidi.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo11 Jul
Magufuli agoma matuta
WAZIRI wa Ujenzi, Dk John Magufuli amesisitiza Serikali haitaweka matuta ya vizuizi vya kupunguza ajali katika barabara zote zilizoko nchini.
11 years ago
GPLYANGA YAONDOLEWA KWA MATUTA
Timu ya Yanga SC imeondolewa kwenye Michuano ya Klabu Bingwa Barani Afrika baada ya kufungwa na Al Ahly kwa penalti 4-3 katika mechi iliyochezwa Uwanja wa El Max Haras El Hodod jijini Alexandria, Misri! Mpaka dakika ya 90 ya mchezo, matokeo ya jumla yalikuwa 1-1 hivyo kuamriwa kupigwa mikwaju ya penalti ambapo Yanga walipata 3, wakati Al Ahly wakipata 4. Wachezaji wa Yanga waliofunga penalti ni Didier Kavumbagu, Emmanuel Okwi na...
11 years ago
Tanzania Daima17 Feb
Matuta yatawala robo fainali Sekondari Dar
MASHINDANO maalumu yanayozikutanisha shule 12 za sekondari za jijini Dar es Salaam yameingia nusu fainali kwa staili ya aina yake baada ya timu zote zilizotinga hatua hiyo kushinda kwa changamoto...
11 years ago
GPLMATUTA YAIONDOA GLOBAL MASHINDANO YA NSSF 2014
Wachezaji wa Global Publishers na Business Times wakisalimiana kabla ya mechi kuanza mapema leo. Kikosi cha Global kilichokwaana na Business Times leo asubuhi.…
11 years ago
GPLBRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KWA MATUTA
Wachezaji wa Brazil wakishangilia baada ya kushinda kwa penalti 3-2 dhidi ya Chile. ...Mashabiki Brazil wakishangiia. Wachezaji wa timu ya…
11 years ago
GPLMANCHESTER UNITED YAONDOLEWA CAPITAL ONE CUP KWA MATUTA
Shangwe: Wachezaji wa Sunderland wakishangilia kutinga fainali baada ya kuwaondoa Man Utd. Majonzi: Wachezaji wa Manchester United wakiwa na nyuso za huzuni.…
11 years ago
GPLAIRTEL, BARAZA LA USALAMA BARABARANI KUHAMASISHA USALAMA BARABARANI MSIMU WA SIKUKUU
Meneja wa huduma za kijamii wa Airtel Tanzania, Hawa Bayumi (kulia) akisisitiza juu ya umuhimu wa wananchi kujikinga na ajali za barabarani kwenye msimu huu wa sikukuu leo wakati wa kikao na waandishi wa habari kilichofanyika makao makuu ya Airtel jijini Dar es salaam. Katikati ni Katibu Mtendaji wa Baraza na Kamanda mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani cha Tanzania, DCP Mohammed Mpinga akifuatiwa na Balozi wa kampeni za...
10 years ago
GPLWANANCHI KAWE WAFUNGA BARABARA WAKIDAI MATUTA, WATAWANYWA KWA MABOMU YA MACHOZI
Polisi wakiondoa vizuizi vilivyowekwa na wananchi barabarani.…
10 years ago
Michuzi22 Jan
KAGERA WATUPWA NJE YA MASHINDANO YA WANAWAKE TAIFA CUP KWA MATUTA 4-3 NA TIMU YA MWANZA
Na Faustine Ruta, MwanzaTimu ya Wanawake kutoka Mkoa wa Kagera imetupwa nje ya Mashindano kwa Matuta baada ya kumaliza mtanange wao kwa sare ya Nyumbani ya Ushindi wa 2-1 na Ugenini,CCM Kirumba Mwanza na Matuta kupigwa na Timu ya Mwanza kuibuka na Ushindi wa bao 4-3.
Mchezo huo uliochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Timu ya Mwanza ndio walianza kupata bao mapema dakika ya 2 kupitia kwa mchezaji wao matata Meriam Kimbuya (10) kwa kukatiza katikati ya mabeki na kufunga bao hilo la kwanza....
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania