Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yanga yatua Cairo, yakataa basi la Al Ahly

Na Saleh Ally, Cairo
ILIKUWA ni kama filamu mara tu baada ya Yanga kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cairo jijini hapa, mambo yakawa kama kuna mkutano wa siasa. Idadi kubwa ya waandishi wa habari ilikuwa uwanjani hapo wakitaka kujua kila jambo, lakini Yanga pia wakakataa basi walilokuwa wameletewa na wenyeji wao Al Ahly na kupanda lile lililoandaliwa na ubalozi wa Tanzania nchini hapa. Ndege ya Egypt Air iliwasili saa...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

Mashushushu Al Ahly wawapeleka Ngassa, Kiiza Cairo

Kutoka kulia Hamisi Kiiza na Mrisho Ngassa katikati. Na Mwandishi Wetu
PAMOJA na juhudi za uongozi wa Yanga kupambana na mashushushu wa Al Ahly wasifanye kazi yao, lakini imeshindikana kwani wamefanikiwa kutuma majina ya Mrisho Ngassa na Hamisi Kiiza. Machi Mosi, Yanga ina asilimia 80 kuwa itavaana na Al Ahly ya Misri kwa kuwa imeshinda mechi yake ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Komorozine ya Comoro kwa...

 

11 years ago

TheCitizen

Yanga: Security crucial in Cairo

Tanzania’s representatives in the African Champions League, Young Africans, have requested the government and the Tanzania Football Federation (TFF) to ensure tight security in the return leg match against defending champions Al Ahly on March 9 at Cairo Stadium.

 

11 years ago

GPL

YANGA YATUA PEMBA

Wachezaji wa timu ya Yanga wakifanya mazoezi (Picha na Maktaba). Msafara wa watu 35 ukiwa na wachezaji 27 na benchi la Ufundi 8 wa timu ya Young Africans tayari umeshawasili Kisiwani Pemba kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kujiandaa na mikikimikiki ya Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2014/2015. Kocha mkuuu Marcio Maximo na kikosi chake wamefikia katika hoteli ya kitalii ya Pemba Misali iliyopo eneo la Wesha na watakua wakijifua kwa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kila la heri Yanga Cairo, msiyumbishwe na fitna 

TIMU ya Yanga kwa sasa ipo jijini Cairo, Misri tayari kwa mechi ya marudiano katika  raundi ya kwanza ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Hongera Yanga, kibarua kizito chawasubiri Cairo

TIMU ya soka ya Yanga ambao ni wawakilishi pekee wa Tanzania katika michuano ya kimataifa, mwishoni mwa wiki walipata ushindi wa bao 1-0 dhidi ya mabingwa watetezi wa Ligi ya...

 

10 years ago

GPL

Yanga yatua kwa Wawa

Beki wa Azam, Paschal Serge Wawa. Waandishi Wetu, Dar es Salaam
AMA kweli sasa Yanga imeamua kufanya yake bila ya kumuangalia mtu usoni baada ya kugonga hodi Azam FC na kuulizia huduma ya beki wake wa kati mwenye kila sifa ya kumudu majukumu yake uwanjani na roho ya ulinzi ya timu hiyo, Muivorycoast, Paschal Serge Wawa. Yanga imefikia hatua hiyo baada ya kuwepo kwa shinikizo la kocha mkuu wa timu hiyo, Mdachi, Hans van Der...

 

10 years ago

GPL

MASHINE HATARI YATUA YANGA

Khadija Mngwai na Hans Mloli KUMEKUCHA Jangwani! Huenda ukawa ni mwaka mwingine wa neema Yanga kutokana na kikosi hicho kusukwa vizuri kwa ajili ya mashindano. Kwa taarifa ni kwamba yule straika msumbufu kwa mabeki, Donald Ngoma, raia wa Zimbabwe, anatarajiwa kutua Yanga wakati wowote ndani ya wiki hii kwa ajili ya kumalizana na timu hiyo. Hayo yote yamekuja baada ya TFF kupitisha idadi ya wachezaji saba wa kigeni na Yanga...

 

11 years ago

GPL

YANGA YATUA JIJINI DAR ES SALAAM

Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom nchini Tanzania Bara, Yanga wameshawasili salama jijini Dar es salaam wakitokea jijini Antalya nchini Uturuki walipokuwa wameweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu na mashindano ya Ligi ya Mabingwa Afrika.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani