Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yawepo maridhiano ya wanasiasa baada ya Uchaguzi Mkuu-Cemot

Mwenyekiti mwenza wa Muungano wa Waangalizi wa Ndani wa Uchaguzi (Cemot), Dk Benson Bana ameshauri kuwapo kwa maridhiano baina ya wanasiasa baada ya Uchaguzi Mkuu ili kuondoa tofauti zilizojitokeza wakati wa kampeni.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Cemot: Uchaguzi umeweka historia

Mwamvuli wa waangalizi wa uchaguzi wa ndani (Cemot) umesema uchaguzi wa leo umeweka historia katika harakati za ushiriki wa wanawake katika siasa, ikilinganishwa na chaguzi zote zilizopita tangu uhuru.

 

9 years ago

GPL

KITUO CHA UFUATILIAJI WA UCHAGUZI TANZANIA (CEMOT) CHAZINDULIWA

Kutoka kushoto ni viongozi wa CEMOT, Meneja mradi, Bernard Kindoli na Balozi wa Den mack, Etnar Jensen. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti mwenza kutoka Tanzania Civil Society Consortium on Election Observation (TACCEO), Martina Kabisama, Meneja mradi, Bernard Kindoli na Balozi wa Den mack, Etnar Jensen.…

 

10 years ago

Michuzi

KATIBU MKUU TAMISEMI AWAASA WANASIASA,WAGOMBEA NA WASHABIKI KUENDESHA KAMPENI KWA AMANI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Bw. Jumanne Sagini akionyesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) Daftari la Wapiga Kura linalotumika kuandikisha wananchi katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Kushoto ni Mratibu wa Uchaguzi huo Bw. Denis Bandisa.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu TAMISEMI Bw. Jumanne Sagini akiongea na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Desemba 14 mwaka huu ambapo amesema...

 

10 years ago

Mwananchi

Tunahitaji maridhiano Uchaguzi Serikali za Mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipangwa ufanyike mwaka huu, ingawa wapo walioshauri kuwa ufanyike mwakani pamoja na uchaguzi mkuu kwa maana ya kujipa muda ili mamlaka husika ziwe zimeboresha Daftari la Wapigakura na ikiwezekana iwe imeshapatikana Tume Huru ya Uchaguzi.

 

9 years ago

CCM Blog

DK. MAGUFULI NA RAIS KIKWETE IKULU BAADA YA KUIBUKA KIDEDEA URAIS KATIKA MATOKEO YA UCHAGUZI MKUU LEO

ma1Rais Kikwete akimpongeza kwa furaha mshindi wa kinyang’anyiro cha Urais kwa tiketi ya CCM na Rais Mteule Dkt John Pombe Joseph Magufuli mara baada ya Mwenyekiti wa  Tume ya Taifa ya Uchaguzi Jaji Damian Lubuva  kutangaza kutangaza rasmi matokeo ya uchaguzi mkuu Ikulu jijini Dar es salaam ambako walifuatilia kwa pamoja matangazo hayo ya moja kwa moja kupitia vituo vya televisheni jioni hii mag2Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsomea sms za pongezi kutoka kila pembe ya dunia  mshindi wa ...

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yamefutwa na Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC na uchaguzi utarudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde.

 

9 years ago

Mwananchi

Wanasiasa wahimiza amani wakati wa uchaguzi

Vyama vya siasa vimewataka wadau wote wa uchaguzi kuzingatia amani katika Uchaguzi Mkuu, huku vikisisitiza haki kutendeka ili kuiwezesha nchi kubaki salama.

 

9 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Matokeo ya uchaguzi Zanzibar yafutwa, uchaguzi kurudiwa baada ya siku 90

am4

Hii ni kutokana na takwimu za kisiwa cha Pemba zimekuwa ni tofauti na watu waliojiandikisha katika daftari la wapiga kura ndio kitu kilichopelekea mashaka na kuahirisha uchaguzi.

Taarifa hiyo imedhibitishwa na Mwenyekiti  wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jecha Salim Jecha (Pichani) katika mkutano wake na waandishi wa habari hivi punde visiwani Zanzibar.

Modewji blog itawaletea taarifa zaidi hapo baadae.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani