Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Yona: Serikali iliagiza mchakato usitishwe

Waziri wa zamani wa Wizara ya Nishati na Madini, Daniel Yona ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwa aliyekuwa Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha, Abdulsalam Khatibu aliagiza mchakato wa kumpata mkaguzi wa madini ya dhahabu nchini usitishwe.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Lusekelo ataka mchakato wa Katiba usitishwe

>Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC) la Ubungo, Dar es Salaam, Anthony Lusekelo maarufu ‘Mzee wa Upako’ amemtaka Rais Jakaya Kikwete kusitisha mchakato wa Katiba kwa lengo la kunusuru amani ya Taifa.

 

10 years ago

Dewji Blog

Dosari yajitokeza kura za maoni ubunge jimbo la Iringa mjini, mgombea ataka mchakato usitishwe

IMG_2160

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa akionyesha walivyokosea jina lake.

IMG_2158

Frank Kibiki ambaye pia ni Mwanahabari wa Magazeti ya Uhuru na Mzalendo wa mkoani Iringa.

Na Mwandishi wetu, Iringa

WAKATI kura za maoni za kutafuta wagombea ubunge katika majimbo yote nchini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) zikipigwa leo, mmoja kati ya wagombea 13 wanaotafuta nafasi hiyo Jimbo la Iringa Mjini, Frank Kibiki anataka zoezi hilo jimboni humo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mchakato Uchaguzi Serikali za Mitaa umevurugwa

Zikiwa zimebakia siku 10 tu kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, vimejitokeza vioja, vitimbi na matukio mengine mengi ya kuonyesha kwamba uchaguzi huo huenda hautakuwa huru na wa haki.

 

9 years ago

Mwananchi

Jaji Bomani: Serikali imalizie mchakato wa Katiba Mpya

Mwanasheria Mkuu mstaafu, Jaji Mark Bomani ametaka Serikali kuendeleza mchakato wa kupata Katiba Mpya ulioanzishwa na Rais Jakaya Kikwete mwaka 2012.

 

9 years ago

StarTV

Serikali yakamilisha mchakato kimataifa Kuuza Nje Bidhaa Zinazosindikwa

 

Serikali inakamilisha mchakato wa kuingia katika biashara ya kimataifa kwa kuuza nje ya nchi bidhaa za kilimo zinazosindikwa nchini badala ya kuuza ghafi.

Katika kukamilisha hilo, wadau mbalimbali wa sekta ya kilimo, utalii na usindikaji wa ndani na nje ya nchi wameshiriki mkutano wa siku moja uliofanyika jijini Dar es Salaam.

Mkutano wa siku moja uliofanyika Dar es Salaam, umejadili fursa na tija mbalimbali za biashara ya kimataifa kwa nchi masikini na zinazoendelea, ikiwemo...

 

11 years ago

Habarileo

Wataka uuzwaji hisa Benki ya Walimu usitishwe

BAADHI ya walimu katika wilaya ya Ukerewe, mkoani Mwanza wametaka utaratibu wa kuuziwa hisa katika Benki ya Walimu inayotarajia kuanzishwa Julai, mwaka huu usitishwe.

 

10 years ago

Mwananchi

GST yataka usafirishaji madini ghafi usitishwe

Wakala wa Jiolojia Tanzania (GST) umeitaka Serikali kusitisha usafirishaji wa madini ghafi nje ya nchi ili kuwanufaisha zaidi wananchi na kuongeza Pato la Taifa.

 

5 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE: SERIKALI IPO KATIKA MCHAKATO KUHAKIKISHA MAHABUSU NCHINI WANAFANYA KAZI MAGEREZANI KAMA WAFUNGWA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (katikati), akitoka Gereza Kuu Ukonga, baada ya kumaliza ziara yake ya kutembelea Magereza ya Mkoa wa Dar es Salaam, leo. Akizungumza na Maafisa na Askari wa Gereza la Segerea, Ukonga na Keko, Simbachawene alisema Serikali ipo katika mchakato wa kuhakikisha mahabusu nao wanafanya kazi kama ilivyokuwa kwa wafungwa ili kuwezesha Jeshi la Magereza kujitegemea kwa chakula. Kushoto ni Kaimu Mkuu wa Magereza Mkoa wa Dar es salaam, ACP. Solomon...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani