Zambia yamlilia Denis Liwewe
Zambia inaomboleza Kifo cha Mtangazaji Gwiji wa soka nchini humo Mzee Dennis Liwewe. Erick David Nampesya amendaa makala ifuatayo
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Zambia yaomboleza kifo cha Liwewe
11 years ago
BBC![](http://news.bbcimg.co.uk/media/images/74374000/jpg/_74374351_dennis.jpg)
Top Zambian commentator Liwewe dies
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Papa Denis asifu mtandao wa Jay Z Tidal
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-iMzXMcHxuWs/U7uLnf3zC6I/AAAAAAAFw_Y/TP0FNkaGr8Q/s72-c/image.jpeg)
BALOZI WA TANZANIA NCHINI ZAMBIA AKUTANA NA WATANZANIA WAJASIRIAMALI WAISHIO NDOLA ZAMBIA
Katika mkutano huo, Watanzania walikuwa na mengi ya kumweleza Mhe Balozi kupitia risala...
10 years ago
Mtanzania23 May
ACT yamlilia Yamola
CHAMA cha ACT – Wazalendo, kimetuma salamu za rambirambi kwa tasnia ya habari nchini na familia ya marehemu Sophia Yamola, kutokana na kifo chake kilichotokea juzi katika Hospitali ya Jeshi Lugalo. Anaripoti Mwandishi Wetu Dar es Salaam.
Rambirambi hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Anna Mghwira, ambaye alisema ni pigo kwa kada nzima ya uandishi wa habari nchini na kutaka waandishi, ndugu na familia ya marehemu kuwa na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwao.
Mghwira,...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
TFF yamlilia Mpondela
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, George Mpondela ‘Castro’ kilichotokea Jumamosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima14 May
TFF yamlilia Kasinde
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mkufunzi wa waamuzi nchini, Omari Kasinde, kilichotokea jijini Dar es Salaam juzi, na kwamba kimeacha pengo katika familia ya soka...
9 years ago
VijimamboTMT 2015 #MPAKAKIELEWEKE KIMEELEWEKA KWA DENIS LASWAI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZfCksCNfKU4/Vdl8CTz0sSI/AAAAAAAAh7w/9Y67CJz9c0c/s640/denis1.jpg)
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
TFF yamlilia James Kisaka
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeelezea kupokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka (57), kilichotokea jana asubuhi katika Hospitali ya Burhani jijini Dar es...