TFF yamlilia Kasinde
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko kifo cha mkufunzi wa waamuzi nchini, Omari Kasinde, kilichotokea jijini Dar es Salaam juzi, na kwamba kimeacha pengo katika familia ya soka...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima17 Jun
TFF yamlilia Mpondela
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko kifo cha aliyewahi kuwa Katibu Mkuu wa Yanga, George Mpondela ‘Castro’ kilichotokea Jumamosi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima14 Jan
TFF yamlilia Boniface Njohole
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) limepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha mchezaji wa zamani wa timu ya Reli ya Morogoro, Boniface Njohole, kilichotokea juzi Januari 12, mkoani Morogoro. Njohole,...
11 years ago
Tanzania Daima26 Dec
TFF yamlilia James Kisaka
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limeelezea kupokea kwa masikitiko kifo cha aliyekuwa kocha wa makipa wa Simba, James Kisaka (57), kilichotokea jana asubuhi katika Hospitali ya Burhani jijini Dar es...
11 years ago
Tanzania Daima07 Jun
TFF yamlilia Gebo Peter
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko kifo cha nyota wa zamani wa timu ya Simba na timu ya taifa ‘Taifa Stars’, Gabriel ‘Gebo’ Peter, kilichotokea usiku wa kuamkia...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
TFF yamlilia Mwamuzi Luteni David Lugenge
SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF), limepokea kwa masikitiko kifo cha mwamuzi wa daraja la kwanza (class one), Luteni David Lugenge kilichotokea juzi kwa ajali ya gari katika Wilaya ya Handeni...
10 years ago
Mtanzania23 May
ACT yamlilia Yamola
CHAMA cha ACT – Wazalendo, kimetuma salamu za rambirambi kwa tasnia ya habari nchini na familia ya marehemu Sophia Yamola, kutokana na kifo chake kilichotokea juzi katika Hospitali ya Jeshi Lugalo. Anaripoti Mwandishi Wetu Dar es Salaam.
Rambirambi hiyo imetolewa jana na Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Anna Mghwira, ambaye alisema ni pigo kwa kada nzima ya uandishi wa habari nchini na kutaka waandishi, ndugu na familia ya marehemu kuwa na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwao.
Mghwira,...
11 years ago
BBCSwahili24 Apr
Zambia yamlilia Denis Liwewe
10 years ago
BBCSwahili18 Nov
Familia ya Kassig yamlilia Abdul-Rahman
5 years ago
CCM Blog![](https://img.youtube.com/vi/Sa8G84KcWmc/default.jpg)