Zanzibar isiwe shamba la dawa za kulevya
KAMA msimu wa mvua unavyokuja kwa kishindo na kuondoka pole pole, ndivyo ilivyo kwa suala la matumizi na biashara ya dawa za kulevya Zanzibar. Kwa mara nyingine tena suala la...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziTanzania yashiriki Mkutano wa Kamisheni ya 63 ya Dawa za Kulevya ya Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Dawa za Kulevya na Jinai (UNODC) jijini Vienna, Austria
10 years ago
VijimamboUNODC KUISAIDIA ZANZIBAR KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA KWA JAMII
Shirika la Umoja wa Mataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya na Uhalifu (UNODC) limesema litafanya tathmini ya kina kupata njia muafaka za kuisaidia Zanzibar kukabiliana na biashara, matumizi na athari za dawa za kulevya kwa jamii.
Hayo yamesema...
5 years ago
MichuziZanzibar kufanya marekebisho ya sheria ya dawa za kulevya - Balozi Seif
Alisema hatua mbali mbali za kupambana, kukemea pamoja na kuchukia shughuli zote zinazoshajiisha matumizi ya Dawa za Kulevya zitapaswa kuchukuliwa kutokana na janga hili linaloikumba Dunia kwa kuathiri nguvu...
10 years ago
MichuziZANZIBAR YADHIMISHA SIKU YA KUPAMBANA NA USAFIRISHAJI NA MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI
Hayo ameyaeleza huko Kiwanja cha Kombawapya Zanzibar katika Maaadhimisho ya kupiga vita Utumiaji na Usafirishaji pamoja na Udhalililshaji wa Dawa za kulevya Duniani.
Amesema Zanzibar inakadiriwa kuwa na watumiaji wa dawa za kulevya zaidi ya 9000 idadi ambayo ni kubwa ukilinganisha na...
10 years ago
Dewji Blog18 Jun
Zanzibar yadhimisha siku ya kupambana, usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya duniani
Waandamanaji katika maadhimisho ya siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani wakipita mbele ya mgeni rasmi katika kiwanja cha Kombawapya. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Rais wa watoto Tanzania Ameir Haji Khamis akitoa ujumbe wa watoto na dawa za kulevya kwenye sherehe za siku ya kupambana na usafirishaji na matumizi ya dawa za kulevya Duniani katika kiwana cha Kombawapya.
Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib...
9 years ago
MichuziMAKAMU WA KWANZA WA RAIS WA ZANZIBAR ATEMBELEA KITUO CHA WALIOADHIRIKA NA DAWA ZA KULEVYA
MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad amesifu maendeleo mazuri ya ujenzi wa kituo cha kisasa cha kuwarekebisha kitabia watu walioingia katika...
10 years ago
Dewji Blog22 Jan
Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya yajadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia mambo ya Bunge, Sera na Uratibu Mhe. William Lukuvi akifungua kikao cha Kamati ya Masuala ya Ukimwi na Madawa ya Kulevya kujadili Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa Dawa za Kulevya ya mwaka 2014 kilichofanyika 22/01/2015 katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau toka Taasisi mbalimbali zisizo za Kiserikali wakichangia mada kupitia vifungu mbalimbali vya Muswada wa Sheria ya Usimamizi na Udhibiti wa...
9 years ago
Mwananchi26 Nov
‘KIA isiwe uchochoro wa dawa za kulevya’
10 years ago
BBCSwahili30 Oct
Adhabu kali si dawa ya dawa za kulevya