Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar kuongeza madaktari

>Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein amesema katika miaka michache ijayo, Zanzibar itakuwa na madaktari wa kutosha kufikia viwango vilivyopendekezwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) ambavyo ni watu 10,000 kuhudumiwa na angalau daktari mmoja.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

TIMU YA MADAKTARI BINGWA KUTOKA NCHINI CHINA WAKISHIRIKIANA NA MADAKTARI WA ZANZIBAR WATOA HUDUMA ZA KIJAMII KATIKA KIJIJI CHA KISAUNI ZANZIBAR

  Dokta Gao Yun Lai akimpima presha na sukari bwana Mohd Ali mkazi wa Kisauni upimaji huo ulifanyika katika kijiji  cha kisauni Zanzibar.   Dokta Fadhil Mohd ambae ni dokta dhamana kanda ya Unguja akitoa maelezo kwa waandishi wa habari hawapo pichani.Wananchi mbalimbali wakipatawa  huduma za matibabu katika kijiji cha Kisauni zanzibar.Picha na Abdalla Omar habari maelezo zanzibar.

 

10 years ago

Vijimambo

MADAKTARI WA MAREKANI WAAGWA ZANZIBAR

Katibu Mkuu Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar Mhev Salum Maulid akitowa shukrani kwa Madaktari Diaspora kwa ujio wao na kutoa huduma katika hospitali ya Mnazi mmoja na kuwataka hii siyo mwishi iwe ni endelevu kufika Zanzibar kutoa msaada wa Afya kwa Wananchi wake na kuipongeza Jumuiya ya Watanzania Washington kufanikisha ziara ya Madaktari hao Nchini Tanzania shukrani hizo amezitowa wakati wa kuwaaga katika ukumbi wa hoteli ya Zanzibar Ocean View Kilimani Zanzibar.Madaktari Diaspora wakimsikiliza...

 

10 years ago

Habarileo

Azam kuongeza makali Zanzibar

MABINGWA wa Kombe la Kagame, Azam FC itaondoka Jumapili kwenda kisiwani Zanzibar kuweka kambi ya wiki mbili kujiandaa na Ligi Kuu Tanzania Bara inayotazamia kuanza Septemba 12.

 

10 years ago

Michuzi

MADAKTARI WA CHINA WAAGA KWA RAIS WA ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Madaktari wa Kichina waliopo Zanzibar waliofika kumuaga Rais baada ya kumaliza muda wao wa kazi katika Hospitali mbali mbali Unguja na Pemba (wa pili kulia) Balozi Mdogo wa China Nchini Tanzania anyefanyia kazi Zanzibar Mhe,Xie Yunliang. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akiwa katika mazungumzo na Balozi Mdogo wa China Nchini Tanzania anyefanyia...

 

10 years ago

Dewji Blog

Madaktari wa Marekani wawafunda wanachuo wa Chuo Afya Zanzibar

Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora Zanzibar Ndg. Adila Hilal Vuai, akiutambulisha Ujumbe wa Madaktari Diaspora kutoka Washington walioletwa na Jumuiya ya Watanzania Wanaoishi Washington  wakali walipofika katika Chuo cha Elimu ya Afya Zanzibar walipofika hapo kutowa Elimu ya Afya ya Saratani ya Matiti na Mano, wakiwa Zanzibar kwa uwenyeji wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Diaspora na Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ).

Rais wa Jumuiya ya Watanzania Washinton Ndg....

 

10 years ago

Vijimambo

DKT. SHEIN AHUTUBIA MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADAKTARI ZANZIBAR

Dkt. Shein akihutubiaBaadhi ya washiriki wa Mkutano wa madaktari kutoka nchini Uingereza wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamaed Shein alipokuwa akifungua mkutano maalum wa wataalamu wa maradhi yanayohusiana na mfumo wa utoaji wa haja ndogo kutoka Uingereza uliofanyika leo Jumatano Januari 21, 2014 katika ukumbi wa Breezes Hotel Bwejuu Mkoa wa Kusini UngujaMadaktari wa Uingereza na wa Zanzibar, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali...

 

10 years ago

Dewji Blog

Balozi Seif Iddi awatoa hofu madaktari wa Cuba, Zanzibar

377

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Kiongozi wa Madaktari wa Cuba Profesa Ulpiano Nyumbani kwake Vuga Mjini Zanzibar baada ya kuvamiwa na majambazi jana usiku yeye na wenzake  maeneo kati ya Kikwajuni na SUZA.

Kamanda wa Polisi Mkoa Mjini Magharibi  Msaidizi Kamishna wa Polisi { ACP } Mkadam Khamis Mkadam alisema Jeshi la Polisi Mkoa huo linawashikilia  watu wawili  miongoni mwa majambazi wanaotuhumiwa kuhusika na uvamizi wa Madaktari Bingwa wa Cuba  katika...

 

10 years ago

Michuzi

WAGANGA WA TIBA ASILI ZANZIBAR WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI WA WIZARA YA AFYA

 Mwenyekiti wa Shirika la World Doctors kutoka Itali Bi. Tanya Niestedt (kulia) akizungumza na Waganga wa Tiba asili hawapo pichani katika semina ya siku moja ya yakuwataka waganga hao washirikiane na Madaktari katika kutibu magonjwa ya Kisukari na Presha, kushoto ni Mkuu wa kitengo cha maradhi yasiyo ambukiza Zanzibar Dkt. Omar Mwalim, hafla hiyo imefanyika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.  Mkuu wa kliniki ya Kisukari Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Faiza Kassim...

 

11 years ago

Michuzi

CHAMA CHA MADAKTARI WANAFUNZI TANZANIA CHATOA HUDUMA ZA AFYA ZANZIBAR

 Naibu Waziri wa Afya Zanzibar Dokta Sira Ubwa Mamboya akimkaribisha Makamu wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi katika uzinduzi wa kampeni za kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu zitakazofanyika Mikoa yote ya Zanzibar.
 Mratibu wa mtadi wa kutoa huduma za kisukari na shinikizo la damu Mr. Siraji M. Mtulia akitoa maelezo mafupi ya mradi huo utakaoanza kutekelezwa leo na Chama cha wanafunzi Madaktari Tanzania wakishikiana na Wizara ya Afya Zanzibar.   Mkuu wa CHUO cha (IMTU)...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani