ZARI ‘AMMAIND’ ALIYEJICHORA TATUU JINA LA DIAMOND
Hamida Hassan Mahaba kweli hayazuiliki! Mrembo mmoja wa mjini ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni alijikuta akikejeliwa na mpenzi wa Nasibu Abdul “Diamond’, Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’ baada ya mdada huyo kutupia picha mtandaoni akiwa amejichora tatuu yenye jina la Diamond kwenye matiti. Zarinah Hassan ‘Mama Tiffah’. Baada ya mrembo huyo kuitupia picha hiyo na kujinasibu kuwa anampenda...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLZARI ATUPIA PICHA YA MREMBO ALIYEJICHORA JINA LA DIAMOND KWENYE NIDO
10 years ago
Vijimambo28 Jan
Picha za shabiki aliyejichora majina ya Diamond,Zari na WcB.
10 years ago
Africanjam.ComTANZANIA: KUELEKEA ZARI WHITE PARTY, DIAMOND AFUNGUKA KUHUSU NDOA YAKE NA ZARI
Diamond Platnumz ambae ni miongoni mwa wasanii wa muziki wanaofanya vizuri sana Africa amefunguka kuhusu Ndoa yake na mwanamama Zari, Diamond amesema kwamba atakuwa ndani ya ndoa kabla ya mwaka huu kuisha.Diamond alifunguka hayo asubuhi ya tar 1 May. 2015 katika kuipigia promo Event ya Zari All All White Party itakayofanyika tar 1 May. Tamasha hilo linatarajiwa kuacha historia ya kipekee kwa kua na kiingilio cha gharama kubwa zaidi kwani ticket za VIP zimeuzwa kwa Millioni tatu na mpaka...
10 years ago
Vijimambo08 Jan
DIAMOND APEWA OFA YA $40,000 AMWACHE ZARI, NJEMBA LAPOST SCREENSHOT YA ZARI AKILIOMBA MKWANJA!
10 years ago
GPLZARI WA DIAMOND KWISHA!
10 years ago
GPLDIAMOND, ZARI KIMENUKA
10 years ago
GPLDIAMOND AMTUSI X WA ZARI!
10 years ago
GPLMIMBA YA ZARI SI YA DIAMOND
10 years ago
GPLDIAMOND, ZARI WAUMBUKA!