Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZEC yaomba vyama kujenga tabia ya uaminifu

TUME ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) , imesema inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Katiba na sheria bila ya kupata shinikizo kutoka kwa vyama vya siasa au kiongozi yeyote wa ngazi za juu serikalini na kuvitaka vyama vya siasa kujenga tabia ya uaminifu.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Benki yahimiza wanafunzi kujenga tabia ya kusoma vitabu

BENKI ya Afrika Tanzania imewataka wanafunzi nchini kujijengea tabia ya kusoma vitabu kama njia kuu itakayowawezesha kukuza upeo wao kiakili na kuweza kuchanganua mambo mbalimbali. Meneja Mwandamizi wa benki hiyo,...

 

9 years ago

GPL

TABIA; SILAHA MUHIMU INAYOWEZA KUJENGA, KUBOMOA UHUSIANO

JUMAMOSI nyingine wapenzi wasomaji wa safu hii tunakutana katika uwanja wetu wa kuweza kupata elimu ya uhusiano. Mapenzi yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu ya kila siku. Bila mapenzi, watu wasingezaana na hata furaha ya maisha isingekamilika kama hakuna mapenzi. Niwashukuru wale wote ambao mlinitumia ujumbe mfupi, mkipongeza kwa mada ya wiki iliyopita iliyokuwa ikifundisha mbinu mbalimbali za kumpata mchumba mwema....

 

10 years ago

Michuzi

Wakandarasi waaswa kuacha tabia ya kujenga majengo chini ya viwango

Na Veronica Mheta, Arusha
WAKANDARASI wameaswa kuacha tabia ya kujenga majengo ya serikali pamoja na wananchi chini ya viwango kwalengo la kupata faida kubwa na kuleta hasara kubwa katika nchi.
Aidha serikali inafanya kila linalowezekana ili kulipa madeni ya wakandarasi wazalendo ikiwemo kupata mikopo ya riba nafuu kwaajili ya kuwezesha wakandarasi kupata zabuni za ujenzi wa majengo makubwa zaidi yanayojengwa na wageni kutoka nchi za nje.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jijini hapa na Katibu...

 

11 years ago

Dewji Blog

Mama Kikwete aitaka Jamii kujenga tabia ya kuchangia damu kwa hiari

unnamed (10)

  Mgeni Rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya wachangiaji damu salama kitaifa Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Kigoma kwenye uwanja wa Lake Tanganyika.

Na Anna Nkinda – Maelezo, Kigoma

Jamii imetakiwa kujenga tabia ya kuchangia damu kwa hiari kitendo ambacho kitapunguza  vifo vya kina mama wajawazito 363 vinavyotokea kila mwaka kutokana na tatizo la ukosefu wa damu wakati wa kujifungua.

Mwito huo umetolewa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akiongea na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uaminifu huboresha mapenzi

KARIBU mpenzi msomaji wa safu ya Urafiki na Mahusiano, ili tuweze kwenda sambamba kuhusiana na mada tunayoizungumzia leo ya kuboresha mahusiano. Katika mahusiano yeyote yale, iwe kwenye ndoa au la,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Viongozi wa dini wamepoteza uaminifu’

ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Victorious la mjini Moshi, Sixbert Mkelemi, amesema hivi sasa viongozi wa dini wanafanyiwa upekuzi katika viwanja vya ndege tofauti na miaka ya nyuma kutokana na...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uaminifu, nidhamu huleta mafanikio

KATIKA maisha hakuna njia ya mkato ya mafanikio. Uwezekano wa kufanikiwa upo, thawabu ipo lakini mpaka uwe na uhitaji huo. Ili ufanikiwe, yakupasa ufanye kazi kwa bidii, kwani ni muhimu...

 

10 years ago

BBCSwahili

Dubai inatisha kwa uaminifu

Dubai imejinyakulia sifa ya kipekee katika kupima Imani za jamii kwa pochi iliyoangushwa mtaani,na mara ikarejeshwa kwa mhusika .

 

10 years ago

Vijimambo

KWA NINI UAMINIFU UMEPUNGUA?


HABARI zenu wadau wa safu hii. Tumekutana tena kujadiliana mambo yetu ya kikubwa wakati huu mwaka unapokatika. Wengine wanafunga hesabu kwa faida na wengine wanajikusanyia madeni.

Maisha ya kimapenzi kila siku yana mapya, wanandoa wanaweza kukaa mwezi mzima bila kuzungumza, lakini siku moja isiyo na jina wanajikuta wanapendana upya na kupiga stori kana kwamba hakuna kilichotokea jana yake.

Siku hizi kutoka nje ya ndoa tumekupa jina jipya, tunasema amechepuka badala ya kubaki njia kuu. Juzijuzi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani