Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wakandarasi waaswa kuacha tabia ya kujenga majengo chini ya viwango

Na Veronica Mheta, Arusha
WAKANDARASI wameaswa kuacha tabia ya kujenga majengo ya serikali pamoja na wananchi chini ya viwango kwalengo la kupata faida kubwa na kuleta hasara kubwa katika nchi.
Aidha serikali inafanya kila linalowezekana ili kulipa madeni ya wakandarasi wazalendo ikiwemo kupata mikopo ya riba nafuu kwaajili ya kuwezesha wakandarasi kupata zabuni za ujenzi wa majengo makubwa zaidi yanayojengwa na wageni kutoka nchi za nje.
Kauli hiyo ilitolewa jana Jijini hapa na Katibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

WAKANDARASI WAASWA KULINDA AFYA ZA WAFANYAKAZI MAHALA PA KAZI-OSHA

 Mkuu wa kitengo cha sheria wa Wakala wa usalama na afya mahali pa kazi(OSHA),Joyce  Mwalubungu, akizungumza na wakandalasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo. Mshauri mkuu wa ufundi wa ujasiliamali na miradi kwa vijana Jelous Chirove akizungumza na wakandarasi waliohudhuria kwenye warsha iliyoandaliwa na wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (OSHA) iliyofanyika jijini Dar es Salaam leo.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wajasiriamali waaswa kuzingatia viwango

WAJASIRIAMALI wadogo na wa kati nchini wametakiwa kuzalisha bidhaa bora kwa kuzingatia viwango vinavyotakiwa kwa mtumiaji. Akizungumza na Tanzania Daima jijini Dar es Salaam juzi, Msemaji wa Shirika la ViwangoTanzania...

 

5 years ago

Michuzi

Dkt. Kalemani awapiga Marufuku wakandarasi kulaza nguzo chini

 Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani (kushoto) akisalimiana kwa mtindo wa kugonganisha miguu na mmoja wa wakazi wa kijiji cha Farkwa wilayani Chemba alipofika katika kijiji hicho kuwasha umeme na kukagua maendeleo ya usambazaji wa umeme katika wilaya hiyo.  Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani( kushoto) na Mkuu wa Wilaya ya Chemba, Saimon Odunga( katikati)wakiteta jambo wakati  Dkt. Kalemani alipofika katika wilaya hiyo kukagua maendeleo ya usambazaji wa umeme. Waziri wa Nishati,...

 

9 years ago

Michuzi

VIJANA WAASWA KUACHA UPAPARA

_MG_1920Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Dk. Tausi Kida akiingia katika ukumbi wa mkutano hoteli ya Double Tree by Hilton kwa ajili ya warsha ya vijana na ajira iliyofadhiliwa na Mpango wa Shirika la Utafiti ya Maendeleo ya Kimataifa kutoka Canada (IDRC) na kuratibiwa na ESRF.
Na Mwandishi wetuVIJANA nchini Tanzania wanatakiwa kujitambua, kuacha kuwa kigeugeu na kufanya papara ya kupata fedha kama wanataka kuendelea na kufanikiwa kibinafsi na kiuchumi.
Kauli...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Waganga waaswa kuacha fikra potofu

WAGANGA tiba asili wametakiwa kuachana na fikra potofu za kuwashawishi wateja wao kuwa wakiua au kuleta viungo vya binadamu ndio chanzo cha kupata mafanikio. Akizungumza na Tanzania Daima jijini hapa,...

 

11 years ago

Habarileo

Mbunge ataka fedha za kujenga majengo ya polisi

MBUNGE wa Viti Maalum, Rita Kabati (CCM) ameishauri serikali kutumia fedha walizookoa baada ya kuacha kununua magari ya kifahari, kuzielekeza kununua magari na kujenga majengo kwa ajili ya Jeshi la Polisi.

 

10 years ago

Habarileo

Madereva waaswa kuacha ulevi, kutuma sms njiani

Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias ChikaweKAMPENI ya usalama barabarani ya kuwataka madereva nchini kuzingatia sheria za usalama barabarani iliyozinduliwa hivi karibuni na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mathias Chikawe jana imeendelea katika Mkoa wa Pwani na Morogoro.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani