Zetrida Ezekiel atoka na ringa na yesu!
Zetrida Ezekiel ni mwanamuziki mahiri wa muziki wa injili aishiye mkoani Kigoma, amekuwa mwanamuziki wa nyimbo za injili ambaye ni mwana kwaya wa kikundi maarufu na kikongwe cha nyimbo za injili cha MKE MWEMA cha mjni Kigoma. Zetrida ameolewa na ni mama wa watoto wanne, wa kike wawili na wa kiume wawili.
Lakini baada ya kupata rai nyingi na kwa muda mrefu toka kwa wachungaji wake na watu mbali mbali kuwa atengeneze albamu yake kama mwanamuziki wa kujitegemea,hatimae mwezi wa August mwaka huu...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo517 Dec
Music: Nas Twaa Feat Lulu – Ringa Ringa
Rapper Nas Twaa ameachia wimbo wake mpya unaitwa “Ringa Ringa”, Amemshirikisha mwanamuzki wakike anaitwa Lulu, Studio Free Nation-Sound.
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
MichuziWAHAMIAJI HARAMU 46 WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MKOANI RINGA
5 years ago
The Verge09 Apr
Ring’s new Alarm system comes with one-touch access to emergency services
10 years ago
MichuziMWIGULU AMSIMIKA SALIM ASAS KUWA KAMANDA WA VIJANA RINGA
MFANYABIASHARA maarufu mkoani Iringa Salim Abri Asas akisimikwa kuwa Kamanda wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Iringa katika kipindi cha miaka mingine mitano na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara Mwigulu Nchemba katika sherehe zilizofanyika kwenye uwanja wa Mwembetogwa, mjini Iringa.
Mwigulu Nchemba akizingumza na umati wa watu katika viwanja vya mwembetogwa mwishoni mwa wiki mjini Iringa
MFANYABIASHARA maarufu mkoani Iringa Salim Abri Asas akizungumza na...
11 years ago
GPLNABII: HUYU SI YESU
11 years ago
Tanzania Daima24 Dec
Yesu alizaliwa wakati gani?
“TAREHE mahsusi na muafaka ambayo Yesu Kristo alizaliwa haijulikani,” kinasema kitabu cha Encyclopedia of Early Christianity. Hata hivyo, mamilioni ya watu ulimwenguni husherehekea kuzaliwa kwa Yesu Desemba 25. Lakini tarehe hiyo...
11 years ago
GPLYESU FEKI AITIKISA DUNIA
11 years ago
Tanzania Daima24 Jul
Kiingilio ‘Kamata Pindo la Yesu’ buku 5
WADHAMINI wa uzinduzi wa video ya albamu ya ‘Kamata Pindo la Yesu’, Kampuni ya Msama Promotions, wametangaza kiingilio cha kushuhudia uzinduzi huo utakaofanyika Agosti 3, katika Ukumbi wa Diamond Jubilee,...
11 years ago
Michuzi12 Jun