Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZIARA YA NAPE OFISI ZA RAIA MWEMA

Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali, Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye uliofanyika kwenye ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali,Tazara jijini Dar es Salaam.Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa kikao chake na Viongozi na waandishi wa Magazeti ya Serikali alipowatebelea leo ikiwa sehemu ya...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CCM Blog

NAPE AENDELEA NA ZIARA KATIKA VYOMBO VYA HABARI ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA LEO



 Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza na Wahariri wa gazeti la Raia Tanzania na Raia Mwema katia ofisi za magazeti hayo jijini Dar es Salaam.
  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa kikao na wahariri wa magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania.

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza huku Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akimsikiliza kwa makini.

 

9 years ago

Michuzi

NAPE ATEMBELEA GAZETI LA RAIA TANZANIA

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa kikao na wahariri wa magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania.

  Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye akizungumza huku Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akimsikiliza kwa makini.
Mhariri Mkuu wa Magazeti ya Raia Mwema na Raia Tanzania Ndugu Godfrey Dilunga akiwatambulisha baadhi ya viongozi wa kampuni ya Magazeti ya Raia Mwema.

KATIBU wa...

 

9 years ago

GPL

NAPE NNAUYE ATEMBELEA OFISI ZA GLOBAL PUBLISHERS

Mhariri wa Gazeti la Risasi Jumamosi, Erick Evarist akimkaribisha Katibu Mwenezi wa CCM na Mbunge Mteule wa Jimbo la Ntama, Nape Nnauye. ...Akitoa neno la shukrani kwa Kampuni ya Global Publishers. Mwandishi wa Global Publishers, Brighton Masalu akimuuliza swali Nape Nnauye.…

 

9 years ago

Habarileo

Raia wachoma kituo cha polisi, ofisi ya kijiji

POLISI mkoani Morogoro wanashikilia watu 11, wakazi wa Kijiji cha Mpofu wilayani Kilombero kwa tuhuma za kuvamia na kuchoma moto kituo kidogo cha polisi na ofisi ya serikali ya kijiji hicho.

 

9 years ago

Michuzi

BALOZI WA NORWAY NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI NAPE OFISI KWAKE

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto akiongea na Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa Waziri,katika kikao hicho Norway iliahidi kuendelea kudumisha ushirikiano na Tanzania katika sekta ya utamaduni, Sanaa na Michezo. 

Balozi wa Norway nchini Tanzania Hanne-Marie Kaarstad kulia akiongea na  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye kushoto wakati wa Kikao kilichofanyika Ofisini kwa...

 

10 years ago

Vijimambo

ZIARA YA KINANA NA NAPE JIMBO LA MONDULI YAFANA

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasha umeme kama ishara ya kuzindua umeme katika kijiji cha Lolkisale.Mradi wa umeme vijijini (REA) ni mradi unaodhaminiwa na serikali ya Tanzania kwa asilimia 100%.Mbunge wa Jimbo la Monduli ,Waziri Mkuu Mstaafu Ndgu Edward Lowassa akiwasalimu wananchi wa Lolkisale mara baada ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kuzindua rasmi umeme kijijini hapo.Wananchi wa Lolkisale wakisikiliza hotuba za viongozi wao.Katibu Mkuu wa CCM Ndugu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Ziara ya vyombo vya habari yamkutanisha Nape na Mbowe

1. Mbowee

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnuye akikutana na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe alipofika katika Ofisi za Free Media, wachapishaji wa gazeti la Tanzania Daima, jana akiwa katika ziara katika vyombo vya habari ambayo aliianza juzi, jijini Dar es Salaam.

 Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akisalimiana kwa furaha na Mhariri Mtendaji wa Free Media, Nevile Meena alipowasili kwenye kampuni hiyo leo akiwa katika ziara kwenye vyombo vya habari mjini Dar es Salaam

Nape...

 

10 years ago

Dewji Blog

Nape aanza ziara kwenye vyombo vya habari

10

  Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali,  Bwana Gabriel Lyimo Nderumaki ( wa pili kutoka kushoto) akielezea masuala mbali mbali yanayohusu tasinia ya habari wakati wa mkutano na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye uliofanyika kwenye ofisi za Kampuni ya Magazeti ya Serikali,Tazara jijini Dar es Salaam.

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akizungumza wakati wa kikao chake na Viongozi na waandishi wa Magazeti ya Serikali alipowatembelea  ikiwa sehemu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Kinana, Nape wazidi kukata mbuga ziara ya Dodoma, leo watinga Chamwino

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (katikati), akishiriki kuchimba shimo la choo cha Shule Mpya ya Msingi ya Kikwete, eneo l;a Chamwino Ikulu, Jimbo la Chilonwa wakati wa ziara yake ya kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi inayotekelezwa kwa kufuata Ilani ya Uchaguzi ya CCM, katika Wilaya ya Chamwino, Mkoa wa Dodoma leo.

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akivishwa chombo chenye dawa aliposhiriki kupulizia dawa za kuua wadudu katika mradi wa shamba la zabibueneo la Chinangali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani