Ziara ya Waziri Mkuu Mkoani Kigoma

Wizara ya Kilimo imejipanga kuhakikisha mikoa mingi kujitosheleza kwa mafuta ya kula.
Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa mjini Kigoma na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw. Gerald Kusaya alipoongea na waandishi wa habari kuhusu ziara ya Waziri Mkuu .
" Jitihada za Wizara hadi sasa tumeweza kuzalisha mbegu bora za michikichi 1,556,111 ambapo miche 49,032 ipo tayari kwa ajili ya kupandwa kwenye Halmashauri sita za Mkoa wa Kigoma" , alisema Kusaya.
Katibu Mkuu huyo amesema Waziri Mkuu Mhe....
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU KESHO KUANZA ZIARA YA KIKAZI MKOANI KIGOMA

Akizungumza na waandishi wa habari juu ya ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa Waziri Mkuu atawasili Mkoani hapa kesho majira ya saa tatu asubuhi.
Alisema kuwa atapokelewa na viongozi mbalimbali wa serikali ya Mkoa na kisha atasomewa taarifa ya Mkoa.
Baada ya hapo ataelekea katika kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu...
9 years ago
CCM BlogWAZIRI MKUU MAJALIWA AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU KUANZA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI MKOANI KIGOMA
WAZIRI Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa anatarajiwa kuanza ziara ya siku mbili ya kikazi na ya chama cha mapinduzi(CCM)Mkoani hapa.
Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia jenerali mstaafu Emanuel Maganga amesema kuwa waziri mkuu atawasili mkoani hapa kesho majira ya saa tatu na nusu asubuhi kwaajili ya shughuli maalum za chama cha mapinduzi(CCM)pamoja na shughuli zingine za kiserikali ikiwemo kupewa taarifa...
9 years ago
MichuziWAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA MKOANI KIGOMA,ATEMBELEA KAMBI ZA WAKIMBIZI, AWAONYA KUTOJIHUSISHA NA UHALIFU
5 years ago
Michuzi
WAZIRI MKUU KUFANYA ZIARA YA SIKU MOJA YA KIKAZI KIGOMA KIGOMA
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajia kufanya ziara ya siku moja
mkoani Kigoma leo kwa ajili ya kugawa miche ya michikichi kwa makundi
mbalimbali ya wakulima ikiwa ishara ya kuanza rasmi utekelezaji wa
mkakati wa serikali kuelekea kujitegemea kwa mafuta ya kula
yatakayokuwa yakizalishwa kupitia zao la michikichi.
Mkuu wa mkoa Kigoma,Emanuel Maganga akizungumza na waandishi wa habari mjini Kigoma leo alisema kuwa mpango wa ugawaji wa miche hiyo
utafanyika katika...
11 years ago
Michuzi
KATIBU MKUU WA CCM,AENDELEA NA ZIARA YAKE MKOANI KIGOMA.

11 years ago
GPL
KATIBU MKUU CCM AMALIZA ZIARA YAKE KIGOMA, AHAMIA MKOANI KATAVI
9 years ago
Dewji Blog29 Dec
Ziara ya Waziri Mkuu Majaliwa Kigoma katika picha
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Issa Machibya kuhusu bunduki iliyokatwa ili kupunguzwa urefu ambayo ilikamatwa na polisi mkoani Kigoma wakati ilipotumika katika uhalifu. Mheshimiwa Majaliwa alikwenda kwenye Ofisi ya Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Kigoma kukagua silaha mbalimbali zilizokamatwa na polisi Desemba 28, 2015.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
11 years ago
Dewji Blog12 May
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu afanya ziara Mkoani Dodoma
Wakurugenzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu waki kagua moja ya Mradi uanao tekelezwa na ( CDA) Miradi hii nikatika mpango wa matokeo makubwa sasa (BRN).
Katibu Mkuu Ofisi ya waziri Mkuu Dkt : Florens M Turuka wa (katikati) akitoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa OWM walipo tembelea eneo la mradi wa Makaburi ya Viongozi katika eneo la Mlimani.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa (CDA) Bw: Pascal Muragiri akitoa maelezo ya mradi wa Barabara unaotekelezwa na CDA kwa msaada wa Benki ya Dunia wanao...