Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zimbabwe yanyimwa mkopo na IMF

IMF imesema kuwa haitatoa fedha zaidi kwa serikali ya Zimbabwe kwa kuwa serikali hiyo ina madeni chungu nzima.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Uchumi wa zimbabwe unadidimia ;IMF

Shirika la fedha duniani IMF limesema hali ya uchumi nchini Zimbabwe imezidi kudidimia.

 

10 years ago

BBC

IMF declines new loans to Zimbabwe

The International Monetary Fund has told the BBC it will not offer Zimbabwe more money because the country is in arrears on repayments of existing loans.

 

10 years ago

Mtanzania

Wizara ya Kazi yanyimwa fedha za maendeleo

daftariNa Arodia Peter, Dodoma
WIZARA ya Kazi na Ajira haikutekelezea mradi wowote wa maendeleo kwa mwaka wa 2014/2015 kutokana na Hazina kutokuipatia fedha zilizotengwa kwa ajili hiyo.
Hayo yalibainika jana wakati wa kuwasilisha taarifa ya Kamati ya Bunge ya Maendeleo ya Jamii kuhusu utekelezaji wa bajeti ya Wizara ya Kazi na Ajira kwa mwaka 2015/2016 mjini Dodoma jana.
Akiwasilisha maoni ya kamati hiyo, Mwenyekiti wake, Dk. Maua Daftari, alisema mwaka jana wizara hiyo ilitengewa Sh bilioni 17.6,...

 

9 years ago

BBCSwahili

Afrika Kusini yanyimwa rufaa kuhusu ICC

Korti nchini Afrika Kusini imekataa ombi la serikali kutaka kukata rufaa uamuzi wa kuishutumu kwa kutomkamata Bashir alipozuru taifa hilo.

 

11 years ago

BBC

Ghana to seek help from IMF

Ghana says it will seek financial help from the International Monetary Fund to help strengthen the West African nation's currency.

 

9 years ago

GPL

MKOPO NOMA SANA

Boniphace ngumije Mkopo noma! Mfanyabiashara maarufu, Mohamed Majid Seif, mkazi wa Mikocheni A, Kinondoni jijini Dar, ametolewa vitu ndani ya nyumba yake namba A35/210 baada ya kushindwa kulipa mkopo wa Sh. Milioni 210 aliouchukua kwenye Benki ya Boa (Bank Of Africa) mwaka 2011.  ....Soma zaidi===>http://goo.gl/XTPP3F

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchumi wa Urusi Matatani-IMF

IMF yasema kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Urusikimeshuka sana kufuatia vikwazo vya Marekani na muungano wa Ulaya.

 

10 years ago

BBCSwahili

IMF laishtumu EU kuhusu Ugiriki

Shirika la fedha duniani IMF limelaumu vikali masharti ya msaada wa kifedha ambao linasema mataifa yanayotumia sarafu ya euro yaliipa Ugiriki.

 

9 years ago

Habarileo

IMF yavutiwa na uchumi wa Tanzania

SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limesema kuwa limevutiwa na kukua kwa uchumi wa Tanzania. Limesema uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 7 na utaendelea kukua kwa kiwango hicho katika miezi iliyobakia mwaka huu hadi mwakani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani