Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchumi wa zimbabwe unadidimia ;IMF

Shirika la fedha duniani IMF limesema hali ya uchumi nchini Zimbabwe imezidi kudidimia.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

TEMBO WANAKWISHA, WACHACHE WANANUFAIKA, UCHUMI UNADIDIMIA

Balozi Khamis Kagasheki. NIMSHUKURU Mungu kwa kutuweka hai leo, mimi na wewe msomaji wangu.
Baada ya kumshukuru Muumba niende moja kwa moja kusema kwamba nimesikitika sana na nahisi moyo kunitetemeka baada ya kuelezwa kwamba inatabiriwa kuwa baada ya miaka saba ijayo, kama jitihada hazitafanyika, tembo watatoweka katika ardhi ya Tanzania, huku wachache wakifaidika. Imeelezwa kuwa kwa siku, katika mbuga mbalimbali nchini, tembo...

 

10 years ago

BBCSwahili

Zimbabwe yanyimwa mkopo na IMF

IMF imesema kuwa haitatoa fedha zaidi kwa serikali ya Zimbabwe kwa kuwa serikali hiyo ina madeni chungu nzima.

 

10 years ago

BBC

IMF declines new loans to Zimbabwe

The International Monetary Fund has told the BBC it will not offer Zimbabwe more money because the country is in arrears on repayments of existing loans.

 

9 years ago

Habarileo

IMF yavutiwa na uchumi wa Tanzania

SHIRIKA la Fedha Duniani (IMF) limesema kuwa limevutiwa na kukua kwa uchumi wa Tanzania. Limesema uchumi wa Tanzania unakua kwa asilimia 7 na utaendelea kukua kwa kiwango hicho katika miezi iliyobakia mwaka huu hadi mwakani.

 

11 years ago

BBCSwahili

Uchumi wa Urusi Matatani-IMF

IMF yasema kiwango cha ukuaji wa uchumi wa Urusikimeshuka sana kufuatia vikwazo vya Marekani na muungano wa Ulaya.

 

11 years ago

BBCSwahili

IMF:Urusi yaingia mdororo wa uchumi

Shirika la Fedha Duniani limesema Urusi kwa sasa imeingia katika kipindi cha "mdororo wa uchumi"

 

10 years ago

Mwananchi

IMF: Tanzania iboreshe sera za kukuza uchumi

Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) limesema uchumi wa nchi zilizopo chini ya jangwa la sahara unazidi kuimarika kwa zaidi ya asilimia tano, huku likiitaka Tanzania kuboresha sera za kukuza uchumi kupitia miradi ya maendeleo.

 

5 years ago

Michuzi

IMF yaridhishwa mwenendo wa ukuaji wa Uchumi nchini Tanzania




Na Ripota Wetu-Michuzi Blog Jitihada za makusudi za Serikali ya Awamu ya Tano katika kusimamia na kutekeleza sera madhubuti za fedha na uchumi hasa katika kusimamia ukusanyaji wa mapato na matumizi, kupunguza matumizi yasiyo ya lazima, pamoja na usimamizi wa Benki, zimeelezwa kuwa ni miongoni mwa vitu vilivyoifanya Tanzania kukua kiuchumi na kunakoisaidia kue ndelea na ukuaji wa kasi katika siku zijazo.

Kwa mujibu wa ripoti ndogo iliyotolewa Jijini Dar es Salaam na wataalam wa Shirika la...

 

5 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA FEDHA DUNIANI (IMF) LATOA RIPOTI NDOGO YA UKUAJI WA UCHUMI NCHINI TANZANIA,BENKI KUU YATOA UFAFANUZI

SHIRIKA la Fedha duniani (IMF) limetoa taarifa ya mwenendo wa ukuaji wa uchumi kwa Tanzania na kwa mujibu wa taarifa hiyo IMF imeelzwa kufurahishwa na ukuaji wa uchumi, kupungua kwa mfumuko wa bei, kutengeneza ajira pamoja na  kuongezeka kwa uwekezaji unaofanywa na Serikali kwa kushirikiana na sekta binafsi katika sekta za elimu na afya.

Taarifa hiyo iliyotolewa Machi 05 mwaka huu imeeleza, timu ya  IMF wakiongozwa na Enrique Gelbard walitembelea Tanzania kuanzia Februari 20 hadi Machi 04...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani