Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TEMBO WANAKWISHA, WACHACHE WANANUFAIKA, UCHUMI UNADIDIMIA

Balozi Khamis Kagasheki. NIMSHUKURU Mungu kwa kutuweka hai leo, mimi na wewe msomaji wangu.
Baada ya kumshukuru Muumba niende moja kwa moja kusema kwamba nimesikitika sana na nahisi moyo kunitetemeka baada ya kuelezwa kwamba inatabiriwa kuwa baada ya miaka saba ijayo, kama jitihada hazitafanyika, tembo watatoweka katika ardhi ya Tanzania, huku wachache wakifaidika. Imeelezwa kuwa kwa siku, katika mbuga mbalimbali nchini, tembo...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bado tembo wanakwisha Selous

Miongoni mwa vitu ambavyo taifa inalitegemea katika kuongeza mapato ni utalii. Lakini sasa hakuna wanyama.

 

10 years ago

BBCSwahili

Uchumi wa zimbabwe unadidimia ;IMF

Shirika la fedha duniani IMF limesema hali ya uchumi nchini Zimbabwe imezidi kudidimia.

 

9 years ago

Bongo5

P-Funk adai ‘CMEA’ itahakikisha wasanii wananufaika na kazi zao

Professor Jay na Diamond wakiwa ndani studio ya P. Funk Majani

Kampuni ya kusimania haki miliki za wasanii Copyrights Management East Africa Limited (CMEA) imesema kasi mpya ya Rais Dk John Pombe Magufuli inaonesha matumaini mapya kwa wasanii.

Professor Jay na Diamond wakiwa ndani studio ya P. Funk Majani

Akizungumza na Bongo5 hivi karibuni mkurugenzi mkuu wa CMEA, Paul Matthysse aka P-Funk alisema sheria za haki miliki zipo vizuri lakini tatizo ni utekelezaji.

“Sisi tunaimani sana na Rais mpya kwa kasi aliyoanza nayo. Tatizo lililopo siyo sheria tatizo ni utekelezaji. Mimi kama CEO wa CMEA niko mstari wa mbele...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wawezeshaji wa kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamtaka serikali kuchukua hatua kunusuru Tembo nchini

tembo-620x308

Miongoni mwa matukio ya tembo kufanyiwa ujangili kwa kutolewa pembe zake kwa ajili ya matumizi mbalimbali ya marigafi.

Na Rabi Hume

Vijana wa kitanzania ambao wameungana na kuanzisha kampeni ya OKOA Tembo wa Tanzania wamemtumia barua ya wazi rais Dr. John Magufuli kwa kumtaka serikali yake ichukue hatua za makusudi ili kuokoa tembo waliosalia nchini.

Akizungumza na waandishi wa habari, Mratibu wa kampeni hiyo Shubert Mwarabu amesema wao kama vijana wameamua kumwandikia barua hiyo rais...

 

10 years ago

Mwananchi

Kagasheki: Wachache wasilazimishe Katiba

Anasema kwa kawaida kitu kinachotafutiwa uhalali na ridhaa ya wananchi, kinapaswa kitokane na wananchi wenyewe.

 

11 years ago

Tanzania Daima

‘Wahitimu wa kike bado wachache’

NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Jenister Mhagama, amesema idadi ya wahitimu wa kike wa kidato cha sita ni ndogo kuliko wahitimu wa kiume. Amesema serikali imekuwa ikifanya...

 

10 years ago

Habarileo

Gesi yahujumiwa inufaishe wachache

Waziri wa Nishati na Madini, George SimbachaweneJITIHADA za Serikali kuhakikisha rasilimali adimu ya gesi yenye fursa ya kutokomeza umasikini kwa Watanzania wote inanufaisha umma zaidi, zimeendelea kupingwa ili rasilimali hiyo inufaishe sehemu ndogo ya jamii.

 

10 years ago

Mwananchi

UCHUMI: Tukiboresha teknolojia, tutakuza uchumi

>Maendeleo ya uchumi na jamii ni mchakato wa ukuaji wa kasi wa pato la taifa na mabadiliko ya mfumo wa uchumi kutoka kutegemea kilimo, ufugaji na uvunaji wa mali ya asili na kuelekea kutegemea viwanda na huduma za kisasa. Nchi maskini zinategemea sana sekta za msingi hususan kilimo, ufugaji na uvuvi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani