Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zitto apata mrithi PAC

Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), Amina Mwidau amerithi mikoba ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa kamati ya Hesabu za Serikai(PAC).

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Mrithi wa Zitto PAC ziarani Afrika Kusini

Na Mwandishi Wetu, Afrika Kusini.
MWENYEKITI mpya wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Amina Mwidau, ameongoza wajumbe wa kamati hiyo kwa kufanya ziara nchini ya Afrika Kusini.
Wakiwa nchini humo walitembelea Bandari ya Durban, ambapo walifanya mazungumzo na viongozi wa juu wa bandari hiyo wakiongozwa na Meneja wake Vusi Khumalo.
Mwidau ambaye ameambatana na wajumbe kadhaa wa PAC akiwemo Makamu Mwenyekiti Deo Filikunjombe, Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage pamoja na Mbunge wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Stephen Keshi apata mrithi Nigeria

Shirikisho La kandanda la Nigeria NFF limesema Shaibu Amodu ndiye atakayechukua nafasi ya Stephen Keshi kama mkufunzi wa timu ya taifa

 

10 years ago

Mtanzania

CUF yanyakua kiti cha Zitto, PAC

Amina MwidauNa Mwandishi Wetu, Dodoma
WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, wamemchagua Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Mwidau (CUF) kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo.
Katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa, Mwidau alichaguliwa na wajumbe wa PAC kwa kupata kura 15 dhidi ya mpinzani wake, Lucy Owenya (Chadema) aliyeambulia kura mbili.
Akizungumza baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo, Mwidau alisema atafanya kazi iliyoachwa na Zitto Kabwe wakati akiiongoza kamati hiyo kwa kuzingatia...

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto: Bilioni 8.5/- zimetengwa kuwamaliza wajumbe wa PAC.

Zinawalenga Filikunjombe, Lugora, Kigwangala, Aeleza mbinu zilivyoanza kusukwa bungeni, Kisa ni kushikia bango mabilioni ya Escrow.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe
Takribani miezi mitatu na ushei tangu sakata la uchotwaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa nchi huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa serikali wakiondoka madarakani na katibu mkuu mmoja akichunguzwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za...

 

10 years ago

Vijimambo

Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema “Hatutetereki” asema Zitto

Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Kamati ninayoongoza ya PAC kuwasilisha Bungeni Taarifa Maalumu kuhusu ukaguzi maalumu wa akaunti ya Tegeta Escrow, kumekuwa na kampeni za chini chini zinazoendeshwa kwenye korido za Bunge na kwenye mitandao dhidi yangu binafsi na baadhi ya wabunge waliosimama kidete dhidi ya wizi wa fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania akaunti ya Escrow.

Baadhi ya tuhuma nimezipeleka kwenye vyombo vya dola ili zichunguzwe kwani zina vielelezo vya mahala pa kuanzia (kama...

 

10 years ago

GPL

ZITTO AELEZA KWA NINI HAKWENDA KUSOMA TAARIFA YA PAC

Hapo juu ni ujumbe aliouandika Mwenyekiti wa PAC na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alichokiandika kwenye akaunti yake ya Facebook leo akieleza ni kwa nini hakwenda kusoma ripoti ya PAC leo.

 

10 years ago

Michuzi

msikilize mwenyekiti wa PAC MHE ZITTO KABWE AKISOMA RIPOTI YA ESCROW BUNGENI SASA KUPITIA KWANZA JAMII RADIO

http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio
ama jiunge na aitv mobile uone live!

 

10 years ago

Mwananchi

Ajenda 10 za mrithi wa JK

>Wakati mjadala wa majina ya watu wanaotaka kuwania urais umepamba moto, baadhi ya wasomi, wachambuzi na wasomaji wa gazeti hili wamesema badala ya kukimbilia majina, wagombea hao wanatakiwa kueleza jinsi gani watakavyokabiliana na ajenda 10 muhimu kwa maendeleo ya Taifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wamsaka mrithi wa Lowassa

Katibu Mwenezi wa CCM mkoani Arusha, Isaack Joseph ametangaza kujitoa kwenye kinyang’anyiro cha kugombea ubunge katika Jimbo la Monduli mkoani Arusha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani