Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITTO AELEZA KWA NINI HAKWENDA KUSOMA TAARIFA YA PAC

Hapo juu ni ujumbe aliouandika Mwenyekiti wa PAC na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alichokiandika kwenye akaunti yake ya Facebook leo akieleza ni kwa nini hakwenda kusoma ripoti ya PAC leo.

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Jeshi la Polisi Usalama Barabarani watoa taarifa ya kusitisha suala la kusoma kwa madereva nchini

Mpinga

Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, DCP  Mohammed R. Mpinga – DCP (kulia) akitoa maelezo ya kiutalaamu juu ya suala la kusoma kwa madereva ambalo kwa sasa suala hilo limesitishwa hadi hapo litakapokamilika kwa mchakato wake. Kushoto kwake ni Mwenyekiti wa madereva nchini, Clement Masanja.  Taarifa hiyo aliitoa leo jijini katika ukumbi wa habari MAELEZO, jijini Dar es Salaam. (Picha na Andrew Chale wa Modewji blog).

TAARIFA KWA UMMA

 Hivi karibuni nchi yetu...

 

10 years ago

Mwananchi

Zitto apata mrithi PAC

Mbunge wa Viti Maalumu (CUF), Amina Mwidau amerithi mikoba ya aliyekuwa mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe baada ya kuteuliwa kuwa Mwenyekiti mpya wa kamati ya Hesabu za Serikai(PAC).

 

10 years ago

Vijimambo

Zitto: Bilioni 8.5/- zimetengwa kuwamaliza wajumbe wa PAC.

Zinawalenga Filikunjombe, Lugora, Kigwangala, Aeleza mbinu zilivyoanza kusukwa bungeni, Kisa ni kushikia bango mabilioni ya Escrow.Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Zitto Kabwe
Takribani miezi mitatu na ushei tangu sakata la uchotwaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa nchi huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa serikali wakiondoka madarakani na katibu mkuu mmoja akichunguzwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za...

 

10 years ago

Mtanzania

CUF yanyakua kiti cha Zitto, PAC

Amina MwidauNa Mwandishi Wetu, Dodoma
WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, wamemchagua Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Mwidau (CUF) kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo.
Katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa, Mwidau alichaguliwa na wajumbe wa PAC kwa kupata kura 15 dhidi ya mpinzani wake, Lucy Owenya (Chadema) aliyeambulia kura mbili.
Akizungumza baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo, Mwidau alisema atafanya kazi iliyoachwa na Zitto Kabwe wakati akiiongoza kamati hiyo kwa kuzingatia...

 

10 years ago

Michuzi

Mrithi wa Zitto PAC ziarani Afrika Kusini

Na Mwandishi Wetu, Afrika Kusini.
MWENYEKITI mpya wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Amina Mwidau, ameongoza wajumbe wa kamati hiyo kwa kufanya ziara nchini ya Afrika Kusini.
Wakiwa nchini humo walitembelea Bandari ya Durban, ambapo walifanya mazungumzo na viongozi wa juu wa bandari hiyo wakiongozwa na Meneja wake Vusi Khumalo.
Mwidau ambaye ameambatana na wajumbe kadhaa wa PAC akiwemo Makamu Mwenyekiti Deo Filikunjombe, Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage pamoja na Mbunge wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema “Hatutetereki” asema Zitto

Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya Kamati ninayoongoza ya PAC kuwasilisha Bungeni Taarifa Maalumu kuhusu ukaguzi maalumu wa akaunti ya Tegeta Escrow, kumekuwa na kampeni za chini chini zinazoendeshwa kwenye korido za Bunge na kwenye mitandao dhidi yangu binafsi na baadhi ya wabunge waliosimama kidete dhidi ya wizi wa fedha kutoka Benki Kuu ya Tanzania akaunti ya Escrow.

Baadhi ya tuhuma nimezipeleka kwenye vyombo vya dola ili zichunguzwe kwani zina vielelezo vya mahala pa kuanzia (kama...

 

10 years ago

Zitto Kabwe, MB

Taarifa ya PAC 2014

View this document on Scribd

 

10 years ago

Michuzi

msikilize mwenyekiti wa PAC MHE ZITTO KABWE AKISOMA RIPOTI YA ESCROW BUNGENI SASA KUPITIA KWANZA JAMII RADIO

http://www.ustream.tv/channel/kwanzajamii-radio
ama jiunge na aitv mobile uone live!

 

9 years ago

MillardAyo

Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio)

Staa wa Bongofleva, Diamond Platnumz amerudi kwa uzito mkubwa kwenye headlines za muziki baada ya kuachia ngoma ya ‘Utanipenda’. Baada ya kuachia video ya ngoma hiyo, leo December 21 2015 kaachia audio rasmi hewani kwenye show ya ‘Leo Tena‘ Clouds FM… kwenye stori zilizopigwa aliulizwa pia kuhusu sababu iliyofanya apost kipande cha video kilichomtoa machozi […]

The post Majibu ya Diamond Platnumz >> kilichomtoa machozi? Kazi na Wema? hakwenda kwa Zari Uganda.. (+Audio) appeared first on...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani