Mrithi wa Zitto PAC ziarani Afrika Kusini
![](http://4.bp.blogspot.com/-GGseoK1DFMg/VRLVn6QDlgI/AAAAAAAHNK8/RVnJO0abV3c/s72-c/unnamed%2B(34).jpg)
Na Mwandishi Wetu, Afrika Kusini.
MWENYEKITI mpya wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Amina Mwidau, ameongoza wajumbe wa kamati hiyo kwa kufanya ziara nchini ya Afrika Kusini.
Wakiwa nchini humo walitembelea Bandari ya Durban, ambapo walifanya mazungumzo na viongozi wa juu wa bandari hiyo wakiongozwa na Meneja wake Vusi Khumalo.
Mwidau ambaye ameambatana na wajumbe kadhaa wa PAC akiwemo Makamu Mwenyekiti Deo Filikunjombe, Mbunge wa Tabora Mjini, Ismail Aden Rage pamoja na Mbunge wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi23 Mar
Zitto apata mrithi PAC
10 years ago
BBCSwahili08 Apr
Rais Mugabe ziarani Afrika Kusini
11 years ago
Tanzania Daima13 Dec
Zitto ahoji Malecela kutokwenda Afrika Kusini
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amehoji Wizara ya Mambo ya Nje kwa kushindwa kuratibu safari ya Waziri Mkuu Msaafu, John Malecela, kuambatana na Rais katika Misa ya kumuaga...
10 years ago
Vijimambo17 Mar
Zitto: Bilioni 8.5/- zimetengwa kuwamaliza wajumbe wa PAC.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-17March2015.jpg)
Takribani miezi mitatu na ushei tangu sakata la uchotwaji wa fedha zaidi ya Sh. bilioni 200 katika akaunti ya Tegeta Escrow kutikisa nchi huku mawaziri wawili na mwanasheria mkuu wa serikali wakiondoka madarakani na katibu mkuu mmoja akichunguzwa, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za...
10 years ago
Mtanzania23 Mar
CUF yanyakua kiti cha Zitto, PAC
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
WAJUMBE wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali, wamemchagua Mbunge wa Viti Maalumu, Amina Mwidau (CUF) kuwa mwenyekiti wa kamati hiyo.
Katika uchaguzi uliofanyika jana mjini hapa, Mwidau alichaguliwa na wajumbe wa PAC kwa kupata kura 15 dhidi ya mpinzani wake, Lucy Owenya (Chadema) aliyeambulia kura mbili.
Akizungumza baada ya kutangazwa kuwa mshindi wa nafasi hiyo, Mwidau alisema atafanya kazi iliyoachwa na Zitto Kabwe wakati akiiongoza kamati hiyo kwa kuzingatia...
10 years ago
Vijimambo09 Nov
Nashambuliwa, tunashambuliwa! PAC tunasema “Hatutetereki” asema Zitto
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Kabwe-May30-2014.jpg)
Baadhi ya tuhuma nimezipeleka kwenye vyombo vya dola ili zichunguzwe kwani zina vielelezo vya mahala pa kuanzia (kama...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/f5QbJIEIZ4zpTyG1CFg2EWP9SXpexZqNprj6Qp-bj4KDf2Ju7kC5cjpbNsKN649JaXaSMeLPgmI5VvN3KxRPnTTIQFxCTcJ2/zittokabwe.jpg?width=650)
ZITTO AELEZA KWA NINI HAKWENDA KUSOMA TAARIFA YA PAC
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg3lFrCgK*YgSCEApImgd1GMMXUYQrImhAHQ5LLklKq29WfldD0MBHR*C0nQPVT*cnY2ZSHY7ydr5G6J8I3skweg/SHENI1.jpg?width=650)
D.K SHEIN ZIARANI KUSINI PEMBA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZBm6IYBZ0KI/U7-JlW0fy2I/AAAAAAAF0zA/zXCd8gcX0Aw/s72-c/IMG_5766.jpg)
Dk.Shein ziarani Kusini Pemba
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZBm6IYBZ0KI/U7-JlW0fy2I/AAAAAAAF0zA/zXCd8gcX0Aw/s1600/IMG_5766.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-0CaW8KLMyRo/U7-JlS2gQII/AAAAAAAF0y4/c24VS_YfEkc/s1600/IMG_5774.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-CcLTAG6uv0A/U7-JlKfGAnI/AAAAAAAF0y0/oLOPNtCqeIg/s1600/IMG_5811.jpg)