Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ZITTO KURUKA KAMA CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe . USHINDANI wa kisiasa kati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umefikia hatua mpya baada ya CCM kuibuka na mkakati wa kumtumia Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, kupambana na CHADEMA waziwazi. Katika mkakati huo CCM imepanga kukodisha helikopta ya kumpeleka Zitto katika mikoa minne kwa gharama ya sh milioni 50 mara tu baada ya CHADEMA...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mtanzania

Zitto: Nitaipaisha ACT kama Chadema

ACTNA SHABANI MATUTU, DAR ES SALAAM
ALIYEKUWA Mbunge wa Kigoma Kaskazini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe, amesema atafanya kazi kukijenga chama Alliance for Change and Transparency (ACT-Tanzania) kwa kukipaisha kama alivyofanya kazi akiwa ndani ya Chadema.
Amesema akiwa kiongozi Chadema kwa miaka zaidi ya 20 alifanya kazi ya kukijenga chama na kuhakikisha kinatoka kuwa na wabunge wanne na sasa kimepanda na kuwa na wabunge 48.
Akizungumza na waandishi wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHADEMA wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

Mkutano Mkuu wa CHADEMA kwa pamoja wamempitisha Edward Lowassa kama mgombea Urais na Haji Duni kama mgombea Mwenza.

 

11 years ago

Habarileo

Zitto kuanza ziara kama akina Slaa, Mbowe

Kabwe ZittoMBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Kabwe Zitto (Chadema), anatarajia kuanza ziara ya siku tano mkoani Kigoma, itakayomfikisha katika majimbo mbalimbali ya uchaguzi mkoani Kigoma.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Zitto aibuka CHADEMA

WAKATI mashabiki na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakihoji uamuzi wa Kamati Kuu ya chama hicho kumvua nafasi zote za uongozi Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe,...

 

11 years ago

GPL

ZITTO AICHAKAZA CHADEMA

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (Chadema), Zitto Kabwe akiwa ndani ya Mahakama Kuu akisubiri hukumu ya kesi yake leo. Mwanasheria wa Chadema, Peter Kibatara (kushoto) akiwa na Mkurugenzi wa Sheria na Haki za Binadamu wa chama hicho, Tundu Lissu ndani ya Mahakama Kuu tayari kusikiliza hukumu ya Zitto.…

 

11 years ago

GPL

ZITTO AWABWAGA CHADEMA MAHAKAMANI

Zitto Kabwe. Nimeomba mahakama kuzuia kamati kuu ya chama changu kunijadili mpaka rufaa yangu isikilizwe na Baraza Kuu la chama. Sijaomba kuzuia kamati kuu kuendelea na kikao chake. Nimeomba kamati isinijadili maana nina rufaa kwenda Baraza Kuu kwa jambo hilo hilo ambalo kamati kuu inataka kuliamulia. Wakili wa chama Tundu lissu aliweka mapingamizi akisema mahakama haina mamlaka kujadili masuala ya vyama na wanachama wao. Jaji...

 

11 years ago

Habarileo

Zitto akomalia demokrasia Chadema

Kabwe ZittoMBUNGE wa jimbo la Kigoma Kaskazini mkoani Kigoma, Kabwe Zitto amesema kuwa ataendelea kupigania haki yake ya kidemokrasia na uwajibikaji ndani ya chama chake hadi dakika za mwisho.

 

10 years ago

IPPmedia

Zitto loses case against Chadema


IPPmedia
Zitto loses case against Chadema
IPPmedia
The High Court in Dar es Salaam yesterday ruled in favour of Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) after it threw out a case filed by the party's former Deputy Secretary General, Zitto Kabwe against Chadema Board of Trustees and the Secretary ...
Zitto loses court battle, axed from ChademaDaily News

all 2

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani